Kiungopunda
JF-Expert Member
- Oct 24, 2023
- 1,349
- 3,145
Nyie watu wa Urambo bwana japo ni shemeji zangu ila hamueleweki. We upo Urambo, unakuja na Fake ID unauliza maswali ili sisi wa Nangurukuru tukujibu au unajipigia promo nini humu Nabii Flora?Duh! Hao kina kumenya si wapo mkubwa na mdogo? Au unamzungumzia mkubwa?
Japo nadhani wote wana maduka.
Mch flora yupo nsenda, ana kanisa kule itebulanda.
Ninachohitaji kufahamu ni kuhusu umoja wao wa meza ya duara!
Hao ndio Hao Hao manabii wa Urambo wanajipigia promo humu. Achana nao.Umerudia zaidi ya mara4 post yako
Haaaahaaa bado yapobtalikuwa yanapenda kukaa karibu na kwa chambara .ila urambo imebadirika rami mpaka vichochoroni.Boma village ndio palikuwa makazi yangu ya muda. At least ndio palikuwa pamejengeka kidogo.
Hivi Yale mandege mwalabu yapo??
Mtandao ulikuwa unasumbua ndio maana imejirudia.Umerudia zaidi ya mara4 post yako
Sina muda mrefu hapa Urumbo, nipo tangu 2022Urambo mjini. Pentekoste church.
Na kama ni mwenyeji wa urambo mjini, huwezi kuacha kuwafahamu hao watu.
Mi binafsi kuna habari nazifanyia utafiti, ikiwa kuna mtu anawafahamu kwa undani
Bado yapo, mengi unayakuta maeneo ya uwanja wa ndege.Boma village ndio palikuwa makazi yangu ya muda. At least ndio palikuwa pamejengeka kidogo.
Hivi Yale mandege mwalabu yapo??
Mkuu,Nabii anatabiria watu kifo ili iwaje? Mwambie aache kupandikiza hofu, Mungu wetu ni wa amani na anatuwazia mema katika siku zetu.
Ngoja nimuulizie? Kwa wadauOkay, kuna mwalimu mmoja alikuwaga kipofu hivi...alikuwa anafundisha study za Kazi.
Alikuwa pamoja na ukipofu wake alikua anatandika stik saana. Na anajua wanafunzi wote darsaani.
Around 2003-.....
Omary Bundala hakuwa anakaa Kota za magereza pale mkabala na ukomboz ps schoolNgoja nimuulizie? Kwa wadau
Unamfahamu omari bundala,Hasan kiyungi,kimwaga Paschal,rayson Julius, salvatory simeo, Joseph adam,
,🤣🤣🤣
Mkuu umeamua haswa comment imejirudia mara saba.Mke wa elidadi ni mweupe mfupi mnene alikuwa anaimba kwaya ya victoria ya hapohapo pentekoste.hiyo kways imegawanyika kwasasa baada ya pentekoste kujenga kanisa broko
Uliwahi kukaa huko Nsenda au kota za Magereza ?Nakumbuka nsenda mzee wangu alikuwa anaenda kuchukua maziwa mgondo
Hapana, ni mzee wangu ndio alikuwa anaenda huko nsenda kuchukua vitu mfano maziwa miwa...alikuwa askariUliwahi kukaa huko Nsenda au kota za Magereza ?
Ok sawa mkuuHapana, ni mzee wangu ndio alikuwa anaenda huko nsenda kuchukua vitu mfano maziwa miwa...alikuwa askari
Kwani Mungu bado anawaleta manabii wengine mpaka sasa?Kuna mtu anaitwa Eldadi, mwingine ni Elia kumenya na mch. Flora! Je, ni nguvu gani wanatumia kutabiria watu vifo? Kurogwa na mambo mengine kama hayo.
Kwa anayewafahamu anisaidie
Yaa Kama sikosei alikuaga anakaa pale muda mref Sana sijawai Rudi urbOmary Bundala hakuwa anakaa Kota za magereza pale mkabala na ukomboz ps school
Yes.Yaa Kama sikosei alikuaga anakaa pale muda mref Sana sijawai Rudi urb
Kuna mtu anaitwa Eldadi, mwingine ni Elia kumenya na mch. Flora! Je, ni nguvu gani wanatumia kutabiria watu vifo? Kurogwa na mambo mengine kama hayo.
Kwa anayewafahamu anisaidie
Urambo mjini. Pentekoste church.
Na kama ni mwenyeji wa urambo mjini, huwezi kuacha kuwafahamu hao watu.
Mi binafsi kuna habari nazifanyia utafiti, ikiwa kuna mtu anawafahamu kwa undani
Nimesoma Urambo, ukombozi primary school.
Kitambo saana.
Hao ndio Hao Hao manabii wa Urambo wanajipigia promo humu. Achana nao.