Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Ivi urambo day si ndo ile shule ipo kalemelaNisasahihi kama mkeo kasoma urambo day miaka hiyo atakuwa ananijua maana nilikuwa maarufu.kuna mshikaji pia tulipiga nae day yupo kazi maalum siwezi kumtaja hapa.
Ukomboz IPO oposite na magerezaIvi Ukombozi si ndio ile shule ipo karibia na boma village ????????
Maana huwa huwa nashidwa kutofautisha kati ya extended na ukombozi maana long time niliwahi kuishi ukoo kabla ya kuchukuliwa na wazungu
Yes.
Ipo kuvuka stesheni yes walikua wanavaa suruali na sketi za blueIvi urambo day si ndo ile shule ipo kalemela
Walikuwa wanavaa suruali za blue ukiwa stesheni urambo unaiona shule kwa mbali
Omari bundara na hasani kiyungi hawa wamemalizia ukombozi sekondari 2009Ngoja nimuulizie? Kwa wadau
Unamfahamu omari bundala,Hasan kiyungi,kimwaga Paschal,rayson Julius, salvatory simeo, Joseph adam,
Ngoja nimuulizie? Kwa wadau
Unamfahamu omari bundala,Hasan kiyungi,kimwaga Paschal,rayson Julius, salvatory simeo, Joseph adam,
Ndiyo hiyo mkuuIvi urambo day si ndo ile shule ipo kalemela
Walikuwa wanavaa suruali za blue ukiwa stesheni urambo unaiona shule kwa mbali
Mkuu,Omari bundara na hasani kiyungi hawa wamemalizia ukombozi sekondari 2009
Kuna shida kwani?? Unaweza kupangia watu Nini wawaze au wafikirie 😊😊Uzi wa kuwaulizia manabii umegeuka sehemu ya watu walioishi urambo kukumbushana hbr zao
Mzee hawa tumekutana sana kwenye madiskasheni enzi hizo.omari bundara alikuwaga ameoa dada mmoja hivi anaitwa tatu salehe sijui kama wamesharudiana maana waliachanaga.huyo dada yupo dar hukohuko na omari yupo dar.Mkuu,
Unajua watu wengi Sana wa urb hope watakua Ni age mate WAKO.............
Aisee nimeamini ule usemi milima haikutani binadamu hukutanaa
Haaaahaaa mwanangu urambo pazuri sanaUzi wa kuwaulizia manabii umegeuka sehemu ya watu walioishi urambo kukumbushana hbr zao
Huyu jamaa anazingua sasa watu tunakumbushana habari za urambo sasa yeye anaumia .Kuna shida kwani?? Unaweza kupangia watu Nini wawaze au wafikirie 😊😊
Sometimes unaweza Soma kimya kimya au uka skip sio lazima kila Uzi uka u comment
✌️✌️✌️✌️
Omari bundara mwanzoni alikuwa anaishi kwa mzee mabruki mzee mmoja alikuwa na gereji maeneo ya majengo ya kaliua karibu na mashine za alizeti.Omary Bundala hakuwa anakaa Kota za magereza pale mkabala na ukomboz ps school
Alaf nimeulizia Yule mwalimu kipofu wa ukombozi primary school nimeambiwa alikua anaitwa mwalimu FESTOHuyu jamaa anazingua sasa watu tunakumbushana habari za urambo sasa yeye anaumia .
Mzee,Omari bundara mwanzoni alikuwa anaishi kwa mzee mabruki mzee mmoja alikuwa na gereji maeneo ya majengo ya kaliua karibu na mashine za alizeti.
Omari na kiyungi Ni marafiki zangu mpaka Leo hii Ni watu huwa tunawasilianagaMzee hawa tumekutana sana kwenye madiskasheni enzi hizo.omari bundara alikuwaga ameoa dada mmoja hivi anaitwa tatu salehe sijui kama wamesharudiana maana waliachanaga.huyo dada yupo dar hukohuko na omari yupo dar.
wachawi Tu hao, wanasingizia upakoKuna mtu anaitwa Eldadi, mwingine ni Elia kumenya na mch. Flora! Je, ni nguvu gani wanatumia kutabiria watu vifo? Kurogwa na mambo mengine kama hayo.
Kwa anayewafahamu anisaidie
Yes. Alikuwa anatandika bakora balaaa.Alaf nimeulizia Yule mwalimu kipofu wa ukombozi primary school nimeambiwa alikua anaitwa mwalimu FESTO
Itabidi muanzishe thread yenu sasa ya kukumbushana. Maana mi nimewaulizia hao watu kuna taarifa za muhimu nazitafuta.Huyu jamaa anazingua sasa watu tunakumbushana habari za urambo sasa yeye anaumia .
Huyo rafiki yake anaitwa nasoro yupo dar kwasasaMzee,
Wewe Ni noma yaan una details zoteee nimemkumbuka pia marehemu mzee mabruk alikua na kijana wa kiume ambae alikua Ni rafiki wa Omar bundala simkumbuki jina