Kwa wakristu wote, imfikie hadi papa, wazo la kuboresha kiapo cha ndoa cha kikristu

Kuamini mamno ya fikra ni dini mpya asili yake mashariki ya mbali. Unaamini miungu ya kihindi bila kujua
Wew unaamini miungu ya kiebrania na kufanya ni Mungu wa wote kwa sababu ulizaliwa mazingira hiyo miungu ya kiebrania ilipata nafasi ya kusemwa kutokana na matokeo ya ukoloni kwenye eneo lako.
 
Mkuu umechambua vitu bila kujerea topic ya kutegemea kwa viumbe hai darasa la sita .

Je wajua kwenye biblia yako hakuna sehemu iliyotaja Hadith ya Mungu aliumba giza? Kuwa giza lilikuwepo tu ndio akafanya mwanga?
Hahahahaaaaah! Soma tena hiyo aya ya pili.

Mbona ni kama unakazia pointi yangu.

Giza si kitu yaani ni hamna. Ndio baada ya hapo kikaumbwa kitu kikawepo yaani mwanga. Hiyo ni kibiblia.

Hata ukiachana na hayo mambo tukarudi kisayansi unaambiwa kwamba there wasnt any.... yaani there was nothing. Halafu a few moments sijui wakachorachora manyokanyoka halafu ukawa mlipuko wa mwanga. The whole universe was filled with pure light.

Baada ya hapo ndiyo wataendelea kuelezea kunyumbuanyumbua hiyo light maana light ndiyo first thing. Hilo giza sijui nini was simply nothing.
 
Positive mind vibe, ni sawa kabisa tunene yale yote yaliyo kwenye uzima
Wewe hapo umeokoka. Regardless ya unakoamini.

That is the spirit. Sie ni wana wa Mungu kabisa halafu tuanze kuweka kubet badala ya kuamini moja kwa moja kwenye positive.
 
Mkuu labda nisome hiyo makala yako then nitarejea coz sijajua ulikusudia nini kusema kifo kinaweza kisiwepo .

Kwa mantiki hiyo unaweza kuwa sahihi pia , nilijarbu kufikiri dunia is isiyo na kifo kwa kila kiumbe , then kuzaliana na kutegemeana kwa viumbe hai kuendelee.
 
Uliisoma chief

Mrejesho

Hata hivyo inahitaji kwanza basic imani ya mbinguni. Sijui kama uliiona kitu au uliona ni manyokanyoka tu
 
Uliisoma chief

Mrejesho

Hata hivyo inahitaji kwanza basic imani ya mbinguni. Sijui kama uliiona kitu au uliona ni manyokanyoka tu
Imani ya mbinguni siitaki mkuu wala sivutiwi napo🤣🤣 🙏ngoja nipate mda nitasoma mkuu kuhusu namna gani hakuna kifo, nmebanwa kidgo nikipta utulivu nitasoma.
 
Am still puzzled juu ya arguement ya mtoa mada kifo plus shida ni issues ambazo ni anticipated in life na kama umeoa utakuwa umexperience baadhi ya shida.
Alafu kumbuka ni jopo lilikaa likatunga iko kiapo then approved universally kutumika kanisani.
Kama unahisi zina walakini keti na paroko wako akuelimishe vyema kama utakuwa bado na maswali kuna wenye ubobevu kwenye hilo level ya PHD mapadre naweza kukulink nao
Na uwe na siku njema
 
Pamoja na Mafundisho ya Kiapo Cha Ndoa, Wakiristo muelewe kuwa mna wajibu wa kutetea Biblia hasa machoni pa Waislam ambao wamekuwa wakiibeza sana na wakati huo huo kukikweza sana kitabu chao Quran.
Fursa ya pekee kukujengea wewe mkiristo Imani Yako juu ya Biblia na kuubaini Uongo ulioandikwa kwenye Quran ni MDAHALO BAINA YA MWL FRANCIS NDACHA NA DR. SULE TAREHE 16-17 DECEMBER 2023 KATIKA UKUMBI WA PTA, UWANJA WA MAONYESHO SABA SABA DAR ES SALAAM

View: https://www.youtube.com/live/MjV6HoXEAIs?si=LA4NBzAi2a2F6QMn
 
Mimi ninafahamu na nimevuka kwenye kutawaliwa na shida na raha. Nipo kwenye hatua ya kuiishi furaha katika ngazi mbalimbali za hiyo.

Hata ikitokea shida, tutaitatua tukiwa na malengo na nia sio tu ya kupata raha. Bali kuilea, kuikuza na kuitunza furaha.

Watu waelimishwe walijie lengo kuu la ndoa ni Furaha na sio 'shida na raha'. At least wataweza kulipigania hilo.

Kuhusu kifo: Sijakikataa kifo kutokuwepo, bali nimesema hakina haja ya kupewa nguvu ya kutenganisha watu. Wapendwa wanaweza kuendelea kuhusiana kwa mahusiano mbalimbali hata kama marafiki au washirika hata wakiwa huko mbinguni.

Kwani wanaposema mbinguni tutawaona wapendwa wetu unadhani ina maana gani?

Kimsingi nnaona kama kauli ya kifo kututenganisha haina maana njema maana hatujui kikamilifu baada ya kifo. Na ni kutukuza kifo (usingizi). Pia ni kutokuwa na imani kwamba wote tunaweza kuokoka yaani ni upungufu wa imani to the core.

Itoshe tu kusema kuwa 'Ninakubali kuishi nawe maisha yetu yote, wewe uliyekubali kuambatana nami maisha yetu yote' Hili ni jambo endelevu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…