Lakin sasa mi nitakuwa nimeshika usukani, sasa wewe abiria ndio nakuhofia.
Hebu kamata hili momba kwanza . . . kaa vizuri ktk kiti chako coz gali litakuwa linanesa-nesa
Dah!Mna mambo!
Haya, naona waanza mapozi
ngoja nikubebe kabisa
Aliyeanzisha hii sredi alitakiwa aweke tahadhari "under 18 not allowed"!!!
Gari unapandisha mlima Serviceutapata wapi??? mpaka gari likirudishwa mjini kuoshwa
Safari ya loliondo yapaswa utumie yale magari ya kijeshi
Embu acha kunikomaza bana!Naanza kuogopa sasa!Baba anashikilia bomba mkono mmoja na mkono mwingine anampa mama sapoti, full mahaba hata kama wametoka home wamenuniana
Tumechelewa, lakin acha tu huyu binti aingie, lakin atalipa nauli ya mtu mzima
Hii ya leo U18 hawakuona ndani!
Siyo sisi lizzy, ni dereva
Embu acha kunikomaza bana!Naanza kuogopa sasa!
Sijui huwa yanaitwa MAJIRUS yale ya kirusi mzee gia lazima uishikilie hapo hapo
Mwenyewe yuko mapumzikoni naona konda unacheza tu na usukani!
Embu acha kunikomaza bana!Naanza kuogopa sasa!
hata mimi sielewi, hivi wewe gari yako ni floor gear au?Kloro kuna nini hapa?
Namtafuta SHAROBARO klorokwin alikuja kwangu kuazima gari
Nimeambiwa Klorokwin alipoenda kwa babu loliondo baada ya kupewa kikombe na babu anywe dawa akamwambia Babu anasubiri mrija kwanza
Yanakuwa yana gia 3 tu
na gia inapaswa ushindilie moja kwa moja,
Ukiona mporomoko weka free gia, gari linashuka lenyewe
ila kama kuna watoto wamelala usikanyage mwendo kasi, maana abiria ataanza kupiga mayowe
Unamtetea kwa sababu umeshamwingiza chumani ee? Child abyuzi
Mwenyewe yuko mapumzikoni naona konda unacheza tu na usukani!
Sikujua ni mambo ya wakubwa!Nimekoma kua mchunguzi!Umechelewa, wakati umeshamaliza utamu ndo unakumbuka wewe ni under 18!!!!!
Yanakuwa yana gia 3 tu
na gia inapaswa ushindilie moja kwa moja,
Ukiona mporomoko weka free gia, gari linashuka lenyewe
ila kama kuna watoto wamelala usikanyage mwendo kasi, maana abiria ataanza kupiga mayowe
Hapo dereva itabidi anyanganywe leseni