Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
Lakin sasa mi nitakuwa nimeshika usukani, sasa wewe abiria ndio nakuhofia.
Hebu kamata hili momba kwanza . . . kaa vizuri ktk kiti chako coz gali litakuwa linanesa-nesa
Hubby this talk is not for the public bana!Embu twende ndani kabla mambo hayajawa mambo!