Kwa wakubwa tu!!!!!!!!!!!!!!!

Nimependa tafsida yako, inaonesha ukomavu wako katika lugha ya kiswahili.
Hivi milio itabadilika iwapo dereva ataendesha magari magari hayo kwa rivasi?
 
Utaipenda safari yetu, sipiyuu shusha hapo kwa Nyerere

Kwa nyerere kuna Traffic, pale nashusha kama ni msaada tu, hakuna stendi pale
Mwambie avumilie tu, ntampeleka na kumrushisha fasta
Mwambie akalie siti ya mbele
 
Lily ya bedford utayaweza?dereva lazima awe na sura mbaya hilo ni moja ,kukata kona lazima uwe umeshiba na dereva kifua wazi sababu ya joto humo ndani.Na kupark kwake nikwenye mteremko tu kwani mengiyao ni yakusukuma hayapigi start.Ila kwa mzigo tu utalipenda
Hii furahiday imeanza kwa manjonjo haya nani anautalamu wa magari aina ya bedford?
 
wee kaa tu, akija mtu mzima atakupakata
Ukisimama ndo kabisaaaaa, unaweza ukaanza kulia kabisa coz nikiweka gia namba 3 miguu yako itaanza ku-vaibreti, utakaa ktk kiti mwenyewe

Ngoja nilale mie!Nyie endeleeni mwishoni mtabaki bila abiria alafu mpumzishe sijui ni daladala..moja alafu mshee nyingine kuelekea muendako!
 
Mambo ya kudandia magari haya kha! nilipanda gari moja dereva kila saa anauliza ,nakufanyajeee, nakufanyajeee *30 lol jasho lilinitoka niliposhindwa kujibu dereva kanambia sema unanit..... heeeeeeee! mbona nilishuka kituo sio changu. Nikasema sipandi tena ki ice
 
Endesha, endesha baba sipiyuu atakunyanganya abiria!

Unajua abiria wakichoka unawapa juisi na pipi wanapata nguvu safari inaendelea ila usisahau kuwawashia video hasa wale wa kwenye mabasi
 
Kwa nyerere kuna Traffic, pale nashusha kama ni msaada tu, hakuna stendi pale
Mwambie avumilie tu, ntampeleka na kumrushisha fasta
Mwambie akalie siti ya mbele

Aisee panga abiria bana wanaanza kujazana mlangoni
 
Tena unahakikisha power stearing fluid ipo mahali yake husumbuki kukata kona ya ghafla

Aisee halafu naona mafuta ya breki yameisha
Hebu lete hiyo tuilainishe hii spindo kuu
Abiria Lizzy naomba utuvumilie tunapaka vilainisho vya spindo halafu tutakwambia urudi ktk kiti tuendelee na sarafi
 
Unajua abiria wakichoka unawapa juisi na pipi wanapata nguvu safari inaendelea ila usisahau kuwawashia video hasa wale wa kwenye mabasi

Bila kusahau koni za Azam na unawawekea video la kinaijeria
 
Charger hilo bedford ndio zuri kwangu maana mie ni mkulima mazao lazima nibebe na gari kama hilo maana linamudu mizigo mizito, habari ya vouge and similar to that potelea mbali.
 
Aisee halafu naona mafuta ya breki yameisha
Hebu lete hiyo tuilainishe hii spindo kuu
Abiria Lizzy naomba utuvumilie tunapaka vilainisho vya spindo halafu tutakwambia urudi ktk kiti tuendelee na sarafi

Sijui niripoti abyuzi!?Nataka mhamishiwe kule kwa wakubwa ili nishuhudie mwisho wa hiyo safari yenu!
 
Haswaaaa!

Hiyo huwezi mama, utachoka sana, jua lote hili
Miguu yenyewe ya kutembea umbali mrefu huna
Hebu panda basi lifti hii ya TATA
SI unaona gia yake ilivyo, saizi kabisa halafu ni automatic
Nikibandika DRIVE tu basi, nakufikisha fasta,
Miguu yako inabaki ku-relax juu kwa juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…