Kwa wakulima wa Morogoro na Dodoma, TRC wamerahisisha usafirishaji wa mazao yenu kwa kuwaletea Mabehewa ya cold chains

Kwa wakulima wa Morogoro na Dodoma, TRC wamerahisisha usafirishaji wa mazao yenu kwa kuwaletea Mabehewa ya cold chains

stakehigh

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
40,702
Reaction score
41,213
Screenshot 2025-10-20 at 1.25.53 PM.png


Kwa wale wakulima mliokua mnaogopa kusafirisha mazao yenu kuja Dar kwa kuhofia kuharibika bidha zenu za mazao sasa TRC wanawaletea mabehewa haya kwa ajili ya kuhifaadhi mazao yenu kama mboga, matunda na kufika mjini yakiwa fresh, kwa wanaotaka kusafirisha mazao yao ndan ya majokofu haya unaweza kuwasiliana na TRC kupitia 0715 157715 au pia unaweza kufika station kwa msaada zaidi
 
Safi sana.

Hongera kwao kwa hili.

Wanapaswa wasimamie ili yalete faida sio yajifie kwa hasara.
 
Pongezi kwa mama

 
At what Cost (Kwa gharama kiasi gani kwa Kgs); sababu kumbuka huyu mkulima atahitaji akifika mjini bado aweze kuuza kwa bei affordable na bado kupata faida baada ya kutoa gharama zote
 
At what Cost (Kwa gharama kiasi gani kwa Kgs); sababu kumbuka huyu mkulima atahitaji akifika mjini bado aweze kuuza kwa bei affordable na bado kupata faida baada ya kutoa gharama zote
unamaanisha nn at what cost? mkulima wa dodoma anaweza kuuza apa mjini akapanua wigo wa mauzo yake ama unataka wauze dodoma tu
 
unamaanisha nn at what cost? mkulima wa dodoma anaweza kuuza apa mjini akapanua wigo wa mauzo yake ama unataka wauze dodoma tu
To be exact at what price ? Kg moja au volume analipia kiasi gani ?; Sababu huwa kuna vitu ukiangalia kwenye makaratasi unasema Vema lakini ukiweka bei unagundua kwamba unless unasafirisha premium products ili uweze kuuza kwa premium price, issue haina uhalisia
 
Hizo refrigerator containers zinahitaji umakini wa hali ya juu laa sivyo mizigo ya watu itakuwa inaoza kwa ukosefu wa umeme au mafuta kuibiwa.
 
Mhhh.

Kwamba wanataka kusafirisha nn kwa cold chain? Samaki/Maziwa?
Hii should be a given sio leo bali juzi ila cha maana zaidi ni kufahamu gharama ni kiasi gani ? Is it affordable kwa huyu Mkulima na bado akaweza kuuza affordably kwa mbangaizaji mwenzake huko Dar au popote market kulingana na market price ?
 
Cold Chain Is Better For Mwanza Lot 5 and Kigoma Lot 4 Otherwise Useless
Sahihi. Dodoma na Morogoro kwenda Dar siyo ishu kihivyo. Pia kunahitajika kujenga chain nzima ya uhifadhi wa hizo bidhaa kabla na baada ya kuingia katika hizo treni ili lengo zima lilete maana.
 
To be exact at what price ? Kg moja au volume analipia kiasi gani ?; Sababu huwa kuna vitu ukiangalia kwenye makaratasi unavema Vema lakini ukiweka bei unagundua kwamba unless unasafirisha premium products ili uweze kuuza kwa premium price, issue haina uhalisia
usafiri wa treni gharama zake ni ndogo sana, kama mtu anaweza safirisha viazi kutoka mbeya mpaka dar kwa fuso basi treni gawanya kwa nusu
 
Hizo refrigerator containers zinahitaji umakini wa hali ya juu laa sivyo mizigo ya watu itakuwa inaoza kwa ukosefu wa umeme au mafuta kuibiwa.
lazima kazi itakua nzuri. afisa
 
usafiri wa treni gharama zake ni ndogo sana, kama mtu anaweza safirisha viazi kutoka mbeya mpaka dar kwa fuso basi treni gawanya kwa nusu

Weka gharama zilizopangwa
kama u don't know.. si unasepa kimya.. sasa hii kugesi kuchambua kivyako ni majibu kweli?

Alicholeta mleta mada bado hajui naye lolote..
 
N
Sahihi. Dodoma na Morogoro kwenda Dar siyo ishu kihivyo. Pia kunahitajika kujenga chain nzima ya uhifadhi wa hizo bidhaa kabla na baada ya kuingia katika hizo treni ili lengo zima lilete maana.

Ndo maana nashangaa, Wameplan kusafirisha nn perishable for 3HRS?

Vegetables? Fish? Milk?
 
usafiri wa treni gharama zake ni ndogo sana, kama mtu anaweza safirisha viazi kutoka mbeya mpaka dar kwa fuso basi treni gawanya kwa nusu
Na hivyo ndivyo inavyopaswa kuwa ila hata hivyo unakuta huwa kuna foleni za mizigo mpaka wa kwako upate upenyo lazima upitishe rupia kwenye udhia.....; by the way economy of scale wangeonezea mabehewa maradufu na gharama isiwe nusu tu bali hata chini zaidi (after all hii ni kampuni ya UMMA inayotakiwa kuhakikisha affordability before profit making)
 
Weka gharama zilizopangwa
kama u don't know.. si unasepa kimya.. sasa hii kugesi kuchambua kivyako ni majibu kweli?

Alicholeta mleta mada bado hajui naye lolote..
heal, una trauma
 
Back
Top Bottom