stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
- Thread starter
- #21
ngoja tuone mkuu ndo kwanza wameanzaNa hivyo ndivyo inavyopaswa kuwa ila hata hivyo unakuta huwa kuna foleni za mizigo mpaka wa kwako upate upenyo lazima upitishe rupia kwenye udhia.....; by the way economy of scale wangeonezea mabehewa maradufu na gharama isiwe nusu tu bali hata chini zaidi (after all hii ni kampuni ya UMMA inayotakiwa kuhakikisha affordability before profit making)