Kwa wale ambao hamna maelewano mazuri na wazazi wenu

Onpoint
 
Pole sana watu mmepitia magumu.
Mm kuna mambo nayaplan kichwani. I will disappear in this world. One day Yes!
 
Uislamu unatufunza hivi watu hawa watatu hawatoingia peponi

1.mwenye kuwaasi wazazi wawili

2.Mwanamke anojifananisha na mwanaume and vice versa is true hapa watu wengi sana wanaingia

3.Mtu aso na wivu na watu wake yaani mtu ambae hana wivu na mkewe,watoto wake yaani anaona mtoto wake anatembea na wanaume halafu anampongeza mwanangu umekua badala ya kumkanya

Au kumruhusu mkewe kwenda sehemu za starehe akafanya anoyafanya huko hlf baba mtu yupo nyumbani kastarehe tu


Kikubwa tumuombe Mungu tusiwe miongoni mwao
 
Huyo sio baba yako mzazi,mama yako alikuzaa nje na baba akajua ila tu hawezi kukwambia
 
Poleni sana wakuu, nimepitia huu uzi leo ila nimejifunza vingi sana, nikisema nianze kuandika niliyoyapitia within family nashindwa kuzuia machozi, coz kama watoto unakuta unabeba mizigo, chuki, dharau,masengenyo, kwa sababu tu wazazi wako wameachana tena mkiwa wadogo sana unaona kabisa ndugu hawawapendi wanawachukulia kama watoto wapotofu wakati huo haujui hata baya na jema, ndugu upande wa baba wanaanza kuwaonea wakishirikiana kwa pamoja mara muanze kusemwa as if nyie ndo mnahatia ila mungu hajawahi mtupa mja wake , tumetokea familia zina migogoro ya ajabu na hapo hapo ametuvusha tumetoboa kielimu na kiuchumi, kikubwa tumwombe mungu awe upande wetu tuliokulia familia zetu hizi ngumu kumeza, tujitahidi tu kuonyesha hata upendo wa kinafki ila tusizubae wakaendelea kukupelekesheni, Mwisho tusirudie makosa katika future family zetu tusijekuleta maisha yenye migogoro kwa watoto wetu. God bless you all🫡😇
 
Dogo jana kamwambia Mzee karogwa kisa kakataa kupimwa utumiaji wa madawa ya kulevya dah so poa
 
Mleta uzi una hoja dhaifu mno. Biblia kupitia waefeso imetamka wazi kuwa kina baba wasiwachokoze watoto bali wawalee katika maadili. Hii ina maana hata Mungu aliona hawa watu huwa wanazingua. Halafu huu upuuzi wa kusema baba yako hata akufanyie nini unatakiwa upotezee nadhani ufikie mwisho. Kama ni laana basi wazungu wangezipata sana kwa sababu huko mtoto anaweza peleka mzazi mahakamani. Uzi wako ungekuwa na maana endapo ungehimiza wazazi kutowatendea watoto wao uovu. Kusema watoto wavumilie uovu kisa umefanywa na mzazi ni UPUMBAVU WA HALI YA JUU. ITOSHE KUSEMA WEWE NDUGU Da'Vinci NI MPUMBAVU NDO MAANA UNATAKA WATU WAWE KAMA WEWE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…