mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
[emoji29][emoji29] daaah. Ni baba yako mzazi kabisa? So sadMimi simchukii yeye ndo ananichukia coz hata nikimpigia simu akijua nimimi anakata. Ni baba. So acha iwe hivo hovo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji29][emoji29] daaah. Ni baba yako mzazi kabisa? So sadMimi simchukii yeye ndo ananichukia coz hata nikimpigia simu akijua nimimi anakata. Ni baba. So acha iwe hivo hovo
OnpointNimesahu Ni Nani, lkn Kuna mdau humu aliweka Uzi..akisema hapatani na Mama yake mzazi..maana Kila Jambo ambalo alikiwa akimshirikisha Mama yake kwa Nia njema Jambo Hilo linakwama, jamaa alikwama kwenye Kila kitu, yaani anaweza kuanza vizur Jambo lake lakini kosa TU akimwambia mama yake..hiyo issue inafail...
Baada ya kuhisi Mama yake anaziba riziki zake akafanya jaribio la mwisho ili kuprove Kama Mama Yuko nyuma ya uharibufu huo.
Akakodi shamba akalima mazao shamba hili hakumwambia mama yake kuwa analima pale..na shamba lingine ambalo alimuonyesha Mama yake, mashamba Yote yako Jiran jirani, like shamba alilomwambia na kumuonyesha Mama yake hakuvuna kitu lakni lile ambalo Mama hakuambiwa jamaa akavuna haswa.
Akahitimimisha Mama yake Ni kizingiti Cha mafanikio..akaamua kujitenga na mama Yale...
Wapo wazazi ambo Ni barakankwa watoto wao, lakn pia wapo wengine ambao wanajihusisha na nguvu za Giza Ni balaaaa kwa familia. Mungu atupe mwisho mwema...
Pole sana watu mmepitia magumu.Ukiacha yote aliyowahi kunifanyia ikiwa ni pamoja na haki ya kumjua baba lkn hii kauli ( NATAKA KUAGIZA GARI LINGINE KWA SASA HVYO SIWEZI KUKUTUMIA MATUMIZI HUKO CHUONI )ndio ilinfanya nione ilikua bahati mbaya sana yeye kunizaa ingawaje hata upendo wa kinafki nimeushindwa.
Yan una mzazi si fukara lkn unaishi maisha ya kuomba omba yeye yupo busy kuhangaika kulinda ndoa yake and worse yeye ni mama, boalra angekua baba huenda ningempa excuse kalishwa limbwa na mke wake sasa mama nae kapewa limbwata na mume wake aisee wazazi ni mtihan mkubwa
ITS SEVEN YEARS NOW NAONA VEMA KUKAA MBALI NAYE, YANI MZAZI ANAKUCHUKIA MPAKA HUELEWI ULIKOSEA NINi
Huyo sio baba yako mzazi,mama yako alikuzaa nje na baba akajua ila tu hawezi kukwambiaKupitia uzi huu nimejifunza mambo mengi Sana nilidhan mm pekee ndyo napitia magumu ya familia yangu kumbe tupo wengi Sana
Kikubwa tuchukulie changamoto hizo tulizopitia kurekebisha familia zetu (watotowetu) tiwatendee mema tuwasikilize na tuwashaur vyema
Binafsi mzaz wangu wa kiume alinipa kila kitu kadir ya uwezo wake lakn kitu kimoja pekee udikteta Tena kwangu tuu kutonisikiliza Wala kinishirikisha kwa Jambo lolote badala yake wanasikilizwa watoto wengne na wanakaa nakupanga mambo ya familia mm naambiwa tu
Jambo hili lilinipa msongo wa mawazo Sana ukizingatia mm nilikuwa mtoto mkubwa kat ya wote lakn n mtoto wa nje ya ndoa na nilijipeleka tu kwa baba yangu baada ya shida kuwa nyingi huko nilokokuwa nakaa (kwa Bibi) ujio wangu pale unaonekana uliharibu kanuni na taratibu zao lakn nifanye nn n mm shida zilinikimbiza wakat mzaz wangu anakila kitu alikuwa engineer wa tanroads mkoa X
Hali ya kutengwa kimaamuzi iliendelea had nilipofika chuo pesa za matumizi had nimpigie mdogo wangu ndyo itumwe ukimpigia mzee hapokei simu na akipiga atanilaumu kwanini nilimpigia mda wa kazi ukipiga jion atakuambia yupo na marafk zake nisimsumbue
Amekuja kustaafu mm nipo chuo mwaka wa 4 namalizia akawagawia wanae wote Kia's Cha pesa Kama 5M kwa kila mtu mm sikupata hata shilingi na hii nilikuja kuambiwa na mdogo wangu alikuja kufunga mzgo wa biashara akaniambia wewe pesa yako utafanyia Nini ? Ndipo nikajua kumbe wamepewa pesa
Lakn MUNGU n mwema maisha Sasa yanasonga Nina familia yangu najitahid kuilea kwa upendo ili nisije kosea Kama mm nilivyoona nakosewa
Kwa Sasa mzazi wangu anailaumu simshirikishi katika maamuz ya mambo yangu najitenga Sana na familia sipigi simu mara kwa Mara
Sent using Jamii Forums mobile app