MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 33,575
- 53,613
Haya mataifa yote yenye rangi ya kijani ni ya kiislamu, wote wana chuki dhidi ya Wayahudi, ambayo ilianza tangu enzi za Mohammad ambaye aliwahi kusababisha mauaji kwa Wayahudi na hata kuuza watoto wao utumwani. Na hata ukisoma maandiko yao kwenye "sahih muslim 2921" waislamu wameamrishwa kupigana na Wayahudi hadi wa mwisho.
Sasa itazame hii ramani uitafute hiyo Israel, yaani Israel ni ndogo hata kuliko Rwanda, kwamba hata kama wanasaidiwa na Marekani, kwa kweli lazima kuna nguvu nyingine ya Kiroho inatumika kulinda haka kainchi.
Marekani ni taifa tajiri na yenye nguvu kuliko mataifa yote duniani, hiyo inatokana na baraka wanazopata kwa kuisaidia Israel.
Ifahamike hata kabla ya ujio wa uislamu, kulikua na miungu mingine mingi iliyojaribu kufuta Wayahudi ila wamekua wakiponea kimiujiza. Kuna mfalme fulani aliwahi kusema Mungu wa Israel ndiye wa kweli, na naona hivi karibuni hata hawa Waarabu iko siku watajikuta wakitelekeza mungu wao na kukubali kuabudu katika Mungu wa Israel.