Acha basi kudanganya si useme tu ile ni kambi kubwa zaidi ya kijeshi ya mataifa ya magharibi? Tena kambi hiyohiyo inapewa tena misaada na mataifa mengi tu ya kiarabu kama Saudi Arabia, Jordan, Qatar, falme za kiarabu mpaka uturuki.
Acha kujitoa ufahamu
Africa Mashariki ingeendelea sana kama Israel ingekuwa na taifa lake hapa.Kuna story ilikuwepo kwamba raia wa israel walitaka kuhamishiwa uganda na kupewa sehem ya utawala wao, na ukiangalia kwa jicho la tatu uganda imepakana na mwanza,,, hapa nawaza ni kwa jinsi gani wasukuma wangekua wanakandwa kila kukicha
Bure kabisa.Haya mataifa yote yenye rangi ya kijani ni ya kiislamu, wote wana chuki dhidi ya Wayahudi, ambayo ilianza tangu enzi za Mohammad ambaye aliwahi kusababisha mauaji kwa Wayahudi na hata kuuza watoto wao utumwani. Na hata ukisoma maandiko yao kwenye "sahih muslim 2921" waislamu wameamrishwa kupigana na Wayahudi hadi wa mwisho.
Sasa itazame hii ramani uitafute hiyo Israel, yaani Israel ni ndogo hata kuliko Rwanda, kwamba hata kama wanasaidiwa na Marekani, kwa kweli lazima kuna nguvu nyingine ya Kiroho inatumika kulinda haka kainchi.
Marekani ni taifa tajiri na yenye nguvu kuliko mataifa yote duniani, hiyo inatokana na baraka wanazopata kwa kuisaidia Israel.
Ifahamike hata kabla ya ujio wa uislamu, kulikua na miungu mingine mingi iliyojaribu kufuta Wayahudi ila wamekua wakiponea kimiujiza. Kuna mfalme fulani aliwahi kusema Mungu wa Israel ndiye wa kweli, na naona hivi karibuni hata hawa Waarabu iko siku watajikuta wakitelekeza mungu wao na kukubali kuabudu katika Mungu wa Israel.
View attachment 3374423
Kaliwekwa hapo Kimkakati na USA baada ya vita vya pili vya Dunia.Rudi kwenye hiyo ramani sheikh, katafute hako kaisrael kanakosababisha mkose usingizi watu bilioni mbili. Hicho kijani kilipaswa kipitia Pwani ya EAC kishuke mpaka Msumbuji, wote hao wanachuki sana na hako kainchi.
Bure kabisa.
Utaendelea kusujudia Mungu wa Wayahudi na USA mpaka unakufa yet hakuna kitu inaitwa badala utapata kwako.
Alikuwepo wapi? Acha porojoKabla muarabu hajabuni mungu wenu, huyo wa Israel alikuwepo na alilinda Israel miaka yote, huyu wenu wa juzi hana jipya