Haaahahhaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] halafu wewe umewaza mbali, hata mme ukiwa wa hovyo hovyo halafu wenzio wameolewa na wenye nazo na kuoga wanajua baba utatumwa wewe ukweni mpaka basi wenzio wanapewa viti nakukaa na watoto wao wewe unafunga maturubai na kukata kuni [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Unanivunja huku mwenzioSasa ukose yote ndiyo hayo mke yatamkuta, hata yeye mme akiwa ukweni wakisema mchango hat elfu 10 hakuna lazima akawasaidiye kina mama kusonga ugali kwenye mipipa [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Wazuri tayari walisha chukuliwa[emoji133] [emoji133] [emoji133]Anayejijua mzuri ani-pm
Ndio hivyo dunia inavyokwenda kwasasa hata ukiwa mkubwa wafamilia alafu ukawa huna kitu utapata heshima yakinafki ila sio kwamba watakuheshimu kutoka ndani yamioyo yaoSasa ukose yote ndiyo hayo mke yatamkuta, hata yeye mme akiwa ukweni wakisema mchango hat elfu 10 hakuna lazima akawasaidiye kina mama kusonga ugali kwenye mipipa [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Akasonge tu sasa mie nitafanyaje [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji39] [emoji23] [emoji23]Unanivunja huku mwenzio
Wakisema mchango hakuna kitu, kwenye kikao utaitwa kufanya nini ndiyo kutumwa kusimamia jikoni tu, kina baba watafute pesaNdio hivyo dunia inavyokwenda kwasasa hata ukiwa mkubwa wafamilia alafu ukawa huna kitu utapata heshima yakinafki ila sio kwamba watakuheshimu kutoka ndani yamioyo yao
Hahahaha inauma lknAkasonge tu sasa mie nitafanyaje [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji39] [emoji23] [emoji23]
Wenzako wapo wanapanga mipango wewe umeagizwa kuhemea nabado unawaza kuwala ganjiWakisema mchango hakuna kitu, kwenye kikao utaitwa kufanya nini ndiyo kutumwa kusimamia jikoni tu, kina baba watafute pesa
Uzuri sio kitu. Pesa ndio kila kitu, ukiwa huna hela wewe na mkeo wote mtapewa kazi za ajabu ajabu hata awe mzuri.vizuri ukaoa mwanamke mzuri mzuri ili asiwe anaambiwa aoshe masufuria pindi mnapokutana familia, wake wa wenzio wanaambiwa wachambue mchele na maharage wakwako anaambiwa akapasue kuni, awashe moto na kazi nyingine mbaya mbaya.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii inatokea kwenye familia nyingi sana
Uko sahihiHahahaha inauma lkn
Ni kuwa humble tu sio ukipewa kiti nawe mkamwana unakunja nne kwa nyodo na kujilegeza ukifika ukweni piga kazi jichanganye na wenzio sio kujiona veeery special ukweli haipendezi
Mtoa mada siku shemeji yenu huyo akibarikiwa chochote katika maisha haya mtaona aibu kwa mnachomfanyia
Hii tabia ni maarufu sana kule Kaskazini.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] halafu wewe umewaza mbali, hata mme ukiwa wa hovyo hovyo halafu wenzio wameolewa na wenye nazo na kuoga wanajua baba utatumwa wewe ukweni mpaka basi wenzio wanapewa viti nakukaa na watoto wao wewe unafunga maturubai na kukata kuni [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Kweli kabisaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] halafu wewe umewaza mbali, hata mme ukiwa wa hovyo hovyo halafu wenzio wameolewa na wenye nazo na kuoga wanajua baba utatumwa wewe ukweni mpaka basi wenzio wanapewa viti nakukaa na watoto wao wewe unafunga maturubai na kukata kuni [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Sio kukaa tunafanya kazi lakini wenyeji wanavyo kuchukulia inakuwa tofauti na yule mwingine, kwenye familia kuna mamboHahahaha inauma lkn
Ni kuwa humble tu sio ukipewa kiti nawe mkamwana unakunja nne kwa nyodo na kujilegeza ukifika ukweni piga kazi jichanganye na wenzio sio kujiona veeery special ukweli haipendezi
Mtoa mada siku shemeji yenu huyo akibarikiwa chochote katika maisha haya mtaona aibu kwa mnachomfanyia
Hawawez kujaAnayejijua mzuri ani-pm
Kwelii..kwanza lazima aringe,halafu ukute umemnunulia ki rav 4 chakeEndapo kama mwanaume ukiwa nauchumi imara hata mkeo hayawezi kumpata hayo hata kama mbaya kiasi gani
Huo ubaguzi uanze wewe kuupunguza na wao watafuata kesho giza ndugu zanguniSio kukaa tunafanya kazi lakini wenyeji wanavyo kuchukulia inakuwa tofauti na yule mwingine, kwenye familia kuna mambo
Hahahaaa baada ya kutoka hapo umeshakusanya kusanya ya nauli na mkeo [emoji28] [emoji28] [emoji28] wakianza story wakwanza kuchangia [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Wenzako wapo wanapanga mipango wewe umeagizwa kuhemea nabado unawaza kuwala ganji