Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kocha hana mpango na mfungaji bora, kocha anataka magoli, kocha an at a mchezaji yeyote ambaye yupo ndani ya box anatakiwa kufunga goli, kocha hataki ufalme wa mchezaji, kocha anataka ufalme wa Yanga.
Wale wachezaji aina ya Inonga kumkamia mchezaji Fulani ndio mfungaji muwape ujumbe, gari limewaka, Yanga I nataka ushindi tu sasa hivi, falsafa siyo nani anafunga.
Hakuna mchezaji amesajiliwa kuja kugombea kiatu cha ufungaji bora, Bali wachezaji wote wanatakiwa kuhakikisha Yanga inashinda.
Habari ndio hiyo msije mkasema sikuwaambia mapema, sasa margin ya magoli ni wachezaji wote wanaoingia ndani ya box.
Nimewaibia siri tu hizi tano tano zina muendelezo wa muda mrefu ujao kwa falsafa hii ya Gamondi.
Cc: Gang Chomba