Kwa wale ambao mpaka sasa hawajaelewa falsafa ya kocha wa Yanga Gamond njooni hapa mpate somo

Kwa wale ambao mpaka sasa hawajaelewa falsafa ya kocha wa Yanga Gamond njooni hapa mpate somo

Binafsi ninafikiria kupeleka wazo kwa mamlaka husika la kuomba kuihamishia Yanga Ligi ya Laliga Hispania ilo ikashindane na akina Barcelona huko!!

Naona hapa Bongo inapoteza tu muda kwa kushindana na timu mbovu kama simba, nk.
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu,pole sana
 
Nasisitiza tunahitaji natural and talented striker, tukikutana na miamba kama sisi inayotulazimu tucheze defensive zaidi na kutupia mbele, 4-3-2-1, tutazungumza lugha nyingine.
Kwa taarifa yako tu mfuatilie Gamond vzur hanaga mpango na mfumo ambao ni defensive zaidi.fuatilia hata vlabu alivyotoka. Anapenda timu ishambulie haraka na ilinde kwa kufaanya pressing ya nguvu ili kupokonya mipira. Huo mfumo ni Nabi tu ndo alikuaga anapendelea
 
Mwanzo siku kuelewa Gamondi lakini ile kauli (sababu alizotoa) kwanini hakuwatmia haraka pacome na Konkon nilimuelwa sana.
 
Hiyo falsafa ilikuwa wapi alipolalwa na mnyama kwenye ngao ya jamii???tuondelee pumba zako hapa.
 
Naomba huu walaka usambazwe kwenye matawi yote yamakolo wawe wanausoma kila wakiwa wanaenda kuangalia li timu lao likicheza ili wawe wanapata uchungu
Mayele anawauma sana ila mnatusingizia maumivu yenu.
 
Nasisitiza tunahitaji natural and talented striker, tukikutana na miamba kama sisi inayotulazimu tucheze defensive zaidi na kutupia mbele, 4-3-2-1, tutazungumza lugha nyingine.
Tunaye konkoni, ni pure no 9
 
Kocha hana mpango na mfungaji bora, kocha anataka magoli, kocha an at a mchezaji yeyote ambaye yupo ndani ya box anatakiwa kufunga goli, kocha hataki ufalme wa mchezaji, kocha anataka ufalme wa Yanga.

Wale wachezaji aina ya Inonga kumkamia mchezaji Fulani ndio mfungaji muwape ujumbe, gari limewaka, Yanga I nataka ushindi tu sasa hivi, falsafa siyo nani anafunga.

Hakuna mchezaji amesajiliwa kuja kugombea kiatu cha ufungaji bora, Bali wachezaji wote wanatakiwa kuhakikisha Yanga inashinda.

Habari ndio hiyo msije mkasema sikuwaambia mapema, sasa margin ya magoli ni wachezaji wote wanaoingia ndani ya box.

Nimewaibia siri tu hizi tano tano zina muendelezo wa muda mrefu ujao kwa falsafa hii ya Gamondi.

Cc: Gang Chomba
Muda utaongea tu, na hizo unazoita falsafa tutaziona muendelezo wake.....
 
Mimi popoma ila Yanga inatupa raha,kuna mda natamani kuunga mkono juhudi za Hersi
 
Mmeanza baadae mtarudi hapa kumponda siku akifungwa mechi moja.
 
Nimesoma hii Comment yako ghafla ikanijia picha ya lile goli Kibu D alilowafunga Uto..

Si kwa ubaya lakini[emoji1787]
Goli la Kibu Huwa linanikumbusha goli la Feitoto CCM Kirumba ambalo halijajibiwa kutoka Kolokoloni!

Goli la Feitoto derby ya Mwanza Lilikuwa goli tamu la uchungu kutoka katikati ya uwanja na halikurudi hadi mwisho mbumbumbu fc nchi nzima iliwauma mno wakalala na viatu!

Goli la Kibu lilifungwa Yanga wakiwa hawako mchezoni baada ya Simba kufunga goli la kwanza la kimagumashi , Kona sio halali na imepigwa bila filimbi ya refa, hebu mwambieni Kibu Sasa ni PIRA GAMONDI afunge Tena Hilo goli mi nihamie mbumbumbu fc!
 
Back
Top Bottom