Kwa wale ambao mpo single muda huu njooni tufarijiane hapa

Kwa wale ambao mpo single muda huu njooni tufarijiane hapa

Kuna wakati ukiwa single unaona sawa tu maana uko busy na work and business yaani very busy, sasa inafika kipindi uko unahitaji someone/ mwanamke wa Netflix and chill halafu hayupo unabaki peke yako inakata vibe kmmk...Movie zote haziwi tamu
 
Singo people mna vurugu hivi,mara pipe mara kuchomekana

Mnyongwe tu.😅
 
Tatizo ni kupata girl wa kuendana nae. By the way ni vizuri kila mtu kujifunza kuwa na furaha mwenyewe, ukitegemea mtu akupe furaha basi utateseka sana.
 
Kuna yeyote Yuko joyslover hapa madale jamanii Niko hapa napata beer kidogo na DJ anagonga amapiano za kutosha kabisaa
 
Back
Top Bottom