ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Naomba nikupitie Mamndenyi ila natoa salamu zangu za pole kwa majanga aliyopata ndugu yetu Inkoskaz Namombea sala hii na mungu ampe wepesi wakupona haraka maana miguu ni kila kitu <<<<<ehe mungu mponye haraka akahudumie familia yake na wanaomtegemea kwanjia moja au nyingine ninaomba haya kwakuwewe ndiye muumba nandiye mkuu wakila kila kitu kilichopo chini najuu!!Nikatika jina lako tukufu>>>> Amen!
habarini
Kwa wale ambao wako tayari kwenda MOI Hospital waniPM ili tujue orodha yao
na tutakutanika palepale Moi Hospitali na kuanza kuingia ndani kumuona mwenzetu Inkoskaz , hivyo jiandae mapema kwani JUMAMOSI hii ndo tunakwenda na itakuwa
ni jioni saa 10. Jiandae kwa chochote ulichonacho, au hata kama huna kule kwenda
tayari umefanya jambo zuri sana na unajiwekea hazina ya baadaye hivyo onyesha
moyo wa kupenda wengine na kuwajali pale wanaopopata na matatizo.
Kwa wale ambao wanapenda kutoa michango yao wawasilishe kwa KIONGOZI
WETU Mtambuzi kwa namba hizi 0715 / 0752 729292
PICHA HII YAONESHA ALIVYOKUWA MWANZO KABLA YA AJALI
View attachment 114684
BAADA YA AJALI ANGALIA HAPA:
View attachment 114686
cc: Mtambuzi, KakaKiiza, Jiwe Linaloishi, Bujibuji, jouneGwalu, Robert Masaku Jr, Paloma, amu, Mamndenyi, Smile, cacico, gfsonwin, ?@Mentor, sweetlady Asprin, Kipaji Halisi, Mwita Maranya, monaco,
na marafiki wengine wengi ambao
wako Darwing niPM ili niweke idadi hiyo na kama yuko yule ambaye anataka kwenda binafsi
basi asisisite kuwasiliana na mgonjwa au awasiliane nami kwa kuniPM nimuelekeze namna ya
kufika hapo MOI.
Kwa atakayeguswa anakaribishwa
View attachment 114687
Ladyf
nitafurahi zaidi kama wanaleo tupo hapa mtajitokeza kwa wingi zaidi ya kwenye vikao vya mitulinga leo tupo hapa naongezea list ladyfurahia kuna watu naona umewasahau Vin Diesel Mulama snowhite mwaJ watu8 Kijino Mtambuzi yule kaka aliyekuja lthp hapa mweusi mweusi nimeisahau id yake ahaaa nimeikumbuka monaco vivian Jeska Mwita Maranya na wana tanga wing wooooooteeee tushiriki kidijital daaamn so touching jamani
Naomba nikupitie Mamndenyi ila natoa salamu zangu za pole kwa majanga aliyopata ndugu yetu Inkoskaz Namombea sala hii na mungu ampe wepesi wakupona haraka maana miguu ni kila kitu <<<<<ehe mungu mponye haraka akahudumie familia yake na wanaomtegemea kwanjia moja au nyingine ninaomba haya kwakuwewe ndiye muumba nandiye mkuu wakila kila kitu kilichopo chini najuu!!Nikatika jina lako tukufu>>>> Amen!
asante sana kwa kunikumbusha na kuwaweka
jmosi tutakutanika pale MOI kumuona hivyo jiandaeni vyema kuwepo jamani
Count on me!je utakwenda kibinafsi? au jmosi ?