Miss uumenielewa lakini??WAJIANDAE
umenielewa lakini??WAJIANDAE
Asante amu kwa kuniiita. Mie sitaweza kuwepo hiyo jumamosi ila nitawasiliana na Mtambuzi. Mpeni mgonjwa pole sana.nitafurahi zaidi kama wanaleo tupo hapa mtajitokeza kwa wingi zaidi ya kwenye vikao vya mitulinga leo tupo hapa naongezea list ladyfurahia kuna watu naona umewasahau Vin Diesel Mulama snowhite mwaJ watu8 Kijino Mtambuzi yule kaka aliyekuja lthp hapa mweusi mweusi nimeisahau id yake ahaaa nimeikumbuka monaco vivian Jeska Mwita Maranya na wana tanga wing wooooooteeee tushiriki kidijital daaamn so touching jamani
nitafurahi zaidi kama wanaleo tupo hapa mtajitokeza kwa wingi zaidi ya kwenye vikao vya mitulinga leo tupo hapa naongezea list ladyfurahia kuna watu naona umewasahau Vin Diesel Mulama snowhite mwaJ watu8 Kijino Mtambuzi yule kaka aliyekuja lthp hapa mweusi mweusi nimeisahau id yake ahaaa nimeikumbuka monaco vivian Jeska Mwita Maranya na wana tanga wing wooooooteeee tushiriki kidijital daaamn so touching jamani
sorry best utakwenda kibinafsi pale moi au jmosi tutajumuika / kukutana wote palepale moi?
Nitapenda kujumuika na wenzangu...sina uhakika kama nitakuwa dar...nikiwepo lazima nije....
Amu...DUUUU i will be there on that date...SHARING IS CARING.nitafurahi zaidi kama wanaleo tupo hapa mtajitokeza kwa wingi zaidi ya kwenye vikao vya mitulinga leo tupo hapa naongezea list ladyfurahia kuna watu naona umewasahau Vin Diesel Mulama snowhite mwaJ watu8 Kijino Mtambuzi yule kaka aliyekuja lthp hapa mweusi mweusi nimeisahau id yake ahaaa nimeikumbuka monaco vivian Jeska Mwita Maranya na wana tanga wing wooooooteeee tushiriki kidijital daaamn so touching jamani
Nimeshtushwa na Ajari aloipata ndugu yetu inkoskaz,jaman naweka wazi ntakuepo Moi siku ya jumamosi..
Wewe utakuepo?
C.C Mamndenyi ,mimi49,etc
Amen,
Barikiwa sana.
Poa karibu.
Nimeshtushwa na Ajari aloipata ndugu yetu inkoskaz,jaman naweka wazi ntakuepo Moi siku ya jumamosi..
Wewe utakuepo?
C.C Mamndenyi ,mimi49,etc
Miss u