Kwa wale ambao wako tayari kwenda MOI Saturday

bestito ni siku ya jumapili jioni tunakutanika pale moi private ward pls sorry na sio kesho
Nimeshtushwa na Ajari aloipata ndugu yetu inkoskaz,jaman naweka wazi ntakuepo Moi siku ya jumamosi..
Wewe utakuepo?
C.C Mamndenyi ,mimi49,etc
 
hongera bestito kwa kwenda kumuona anaendeleaje kwa sasa
maana sisi tutakwenda j2 kumwona.
zubedayo_mchuzi,
leo nilifika eneo asubuhi
Pengine nimewahi sana he didn't receive my call,
Ikabidi nigeuke. Ila naamini Mungu anaendelea kumtuza sana.
 
sorry monaco ni jpili ndo tunakwenda kama wanajf group hivyo jipange kuwepo kama hautakuwa n a muda basi waweza kwenda binafsi jmosi na kutupa taarifa mgonjwa yukoje ila kama utakuwa na nafasi basi tutakutanika pale MOI private ward room 1 yeye yuko upande wa kulia kitanda cha kwanza mlangoni
kama utakuwepo jpili jioni saa 10 niPM
 
Last edited by a moderator:
kama utakuwa dar jpili hii basi jumuika pamoja nasi pale moi private ward tutakuwepo hapo saa 10 jioni na kama una namba ya mtu yeyote anakwenda basi utampigia hususani kiongozi wetu Mtambuzi tutakuwa naye
Nitapenda kujumuika na wenzangu...sina uhakika kama nitakuwa dar...nikiwepo lazima nije....
 
nilitoka njee ya muda na ndio naingia dar now nilishindwa kabisa kufika lakini natumai Mungu amempa uzima wake
 
Last edited by a moderator:
NDugu zanguni mimi ndio leo nimeingia kwenye mtandao baada ya kuwa shamba kwa kipindi fulani, sasa taarifa hii inanipa utata kidogo, mwenye habari kamilia anisaidie niweze kuona jinsi gani naweza kushiriki kwa namna yoyote iwayo. Je ni ajari, ni ugonjwa au ni kipi kimemsibu mwenzetu?
Natanguliza shukrani zangu kwenu kwa kupokea ombi hili
 
So sad kwa kweli jamani, anaendeleaje? Mungu amponye haraka
 
alipata ajali pale maeneo ya tabata aligongana na gari kubwa ndipo alipata hayo majeraha ona picha hapo juu, ila akalazwa pale moi july na kupatiwa matibabu ila sasa ameshatoka karuhusiwa yuko home kwake kama unataka data kamili niPM nitakujulisha mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…