Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
- Thread starter
- #21
Tuishie kwenye treni tu kwañza.🤣🤣Africa ngoja tuendelee na Internal Combustion Engine
Kwenye trucking hata South Africa matajiri wananunua roli mpya za mwaka 2023/24 kufanya long haulage ya copper kutoka Congo DRC kwenda Durban Port na Port Elizabeth hawataki hizo Electric Vehicle mazingira sio rafiki hata kama ni nafuu kuzidi Diesel