Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Sweden wana electric Road unajaza battery huko unatembeaHata upande wa Heavy Duty Machine tayari wameshaanza kuproduce machine za kuchaji mfano Sandvik tayari wana LHD, Jumbo, Solo, na truck...
Kwa Komatsu niliona Ad ya LHD...
Ngoja nimtafute na CAT nione...japo huyu anakuwaga nyuma kwenye mambo ya umeme.
Jamaa wanajiongeza hawana utani
Malori yanahitaji sana barabara za hivyo maana mda mwingi wanakuwa barabarani