Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Mpaka ifike bongo ni miaka 30+ ijayo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1. TRA na serikali wangeweka ata sheria ndogo/rafiki kwa EV kama ulivyosema. Mfano: EV zote za miaka 3 iliopita Ushuru unakua mdogo sana au bure kabisa. Wanasema hii ni "offa" kwa mwaka 2025-26 hivi.Hawa jamaa hizi EV wangesi samehe..ili wadau wachukue......
Sema mambo ni mengi ili tuwe comfortable na jutumia EV
-umeme Wa uhakika(Tanesco na wadau wengine)
-makampuni ya bettery...sisi tutanunua used EV ,battery degradation will eat us alive
-incentives kwa owners....Kodi kidogo,spare sisiwe na Kodi,hata matraffic wafanye namn😀
Ukiwa nyumbani unachajia umeme wa Tanesco tu mzee mpaka solar tena.4. Ukinunua gari afu una nyumba yako unafunga charging dock home. Hafu unanunua na solar system.
Umefikiria mda utakaopaki kuchaji?Yanapiga mzigo mzee. Full charge yana range ya kilometa 800 imagine.
Karibu 2024. Tesla wana super charger (fast charger) 250-kW ambazo inachukua dakika 15 hadi 20 kufika 80% from 0%.Umefikiria mda utakaopaki kuchaji?
Hata hiyo nayo itahitaji Preventive Maintanance....kwenye battery mzee bado ni kipengeleUnafunga solar kwako mzee. Ukitenga 5 Mil za Solar kwaajili ya kuchaji gari tu, hafu hununui mafuta milele. What a move!!
Tanesco wata torment nafsi zwnu 😂😂😂 jokingAisee, imagine unataka kutoka out simu haina chaja, saa haina chaja, gari halina chaja, earpods hazina chaja, TANESCO mjiandae.