Tuishie kwenye treni tu kwañza.🤣🤣Africa ngoja tuendelee na Internal Combustion Engine
Kwenye trucking hata South Africa matajiri wananunua roli mpya za mwaka 2023/24 kufanya long haulage ya copper kutoka Congo DRC kwenda Durban Port na Port Elizabeth hawataki hizo Electric Vehicle mazingira sio rafiki hata kama ni nafuu kuzidi Diesel
Treni yenyewe mzozo.Tuishie kwenye treni tu kwañza.🤣🤣
Dar - mbeya unachaji unageuka tena
EV labda wapunguze bei, africa huku wazee wa used from japan itakua utata tuTreni yenyewe mzozo.
EV zitumike kwenye majiji na miji mikubwa kama Dar,Arusha, Dodoma,Tanga,Mbeya na Mwanza
Bei za EV zinaporomoka ni aibu. Used Tesla Model 3 ya 2019 unaweza ipata kwa $17,000/= Beforward. Ni mwanzo mzuri.EV labda wapunguze bei, africa huku wazee wa used from japan itakua utata tu
Nahisi used Ev zitakuwa na chamgamoto ya battery degregation, Siamini kama unaweza Pata used ev halafu battery ikawa Ina uwezo mzuri.Bei za EV zinaporomoka ni aibu. Used Tesla Model 3 ya 2019 unaweza ipata kwa $17,000/= Beforward. Ni mwanzo mzuri.
Mchina BYD nae analeta vyuma new kwa $13,000/= sema kana shape kama Passo. Imagine kakiwa used 50,000 km hivi unaweza kapata kwa CIF ya $ 4,000
Hydrogen mashabiki wenyewe tu wachacheToyota wamekuja na hydrogen combustion engine, Kwa maelezo yao wanaweza kupindua meza ya Ev!!
Ni internal combustion! Zitakuwa na mzuka wa sound just like petrol engines, halafu output ni maji kwenye tail pipe.Hydrogen mashabiki wenyewe tu wachache
je, bei ya umeme itabaki kuwa hiyo hiyo?Magari mengi ya EV (ya kuanzia 2016 kuja juu) yanatumia 0.25kWh (unit) kwenda 1.5 km on average. Kwahiyo kwa wastani kama unaendesha Kilometa 100 kwa siku, utatumia Unit 16 hivi.
Unit moja ni Tsh 350/= kwahiyo unit 16 ni Tsh 5600/= tu.
Kwahiyo kwa Tsh 5600 unaenda kilometa 100 wakati ungenunua mafuta kwenye IST ungepata lita 3 average ambazo unaenda kama kilometa 60 (assume IST inatumia 20km/L kitu ambacho sio kweli).
Nia ya serikali ni kupunguza gharama za unit pengine mambo yatakuwa poa zaidije, bei ya umeme itabaki kuwa hiyo hiyo?
Mkuu kama tuna think tanks wetuNahisi used Ev zitakuwa na chamgamoto ya battery degregation, Siamini kama unaweza Pata used ev halafu battery ikawa Ina uwezo mzuri.
Hii campaign ya kuanzisha magari ya umeme ni vita Tu ya biashara na nchi zinazozalisha mafutaNdio maana mwarabu anapandisha mafuta kila kukicha ili apige Super profit za mwisho mwisho.
Maana after 5 yrs soko litaporomoka kwa 20% kwenda 50% ni simple.. wateja wake watabaki watu wa ndege, meli na baadhi ya mitambo mikubwa.
Upande wa Reli ulishajitenga siku nyingi sana na bidhaa ya mafuta.