Kwa wale anti-Electical Vehicle: Unaijua ZEV Mandate?

Sweden wana electric Road unajaza battery huko unatembea
Jamaa wanajiongeza hawana utani
Malori yanahitaji sana barabara za hivyo maana mda mwingi wanakuwa barabarani
 
Toyota wamekuja na hydrogen combustion engine, Kwa maelezo yao wanaweza kupindua meza ya Ev!!
Toyota wanaamini hydrogen fuel ndiyo Bora zaidi kuliko EV's ingawa usafirishaji wa hydrogen Una gharama kubwa ila kama marekani watapiga kampeni kwenye technology hii itakuwa poa Sana.
Kwa mfano mwaka 2022-23 nchini marekani vituo vingi vya hydrogen vilifungwa Kwa kukosa magari yenye technology hiyo...
 
Nilikuwa nawaza hizi hesabu sana ..umenisaidia
Vip mkuu kuyaleta hapa bongo TRA Wanatapiga ngapi...
 
Sweden wana electric Road unajaza battery huko unatembea
Jamaa wanajiongeza hawana utani
Malori yanahitaji sana barabara za hivyo maana mda mwingi wanakuwa barabarani
Baadhi ya nchi za Scandinavia ikiwemo Sweden wamesema mwisho wa kutumia combustion engine ni 2026.
Hizi nchi hawana njaa Kali kama uingereza, France, Portuguese na Spain( hawa wataendelea Sana kutumia magari haya Hadi 2040)
 
Nahisi used Ev zitakuwa na chamgamoto ya battery degregation, Siamini kama unaweza Pata used ev halafu battery ikawa Ina uwezo mzuri.
Kwa matumizi ya kawaida, Tesla Model 3 baada ya miaka 4 imepungua (degradation) 4% .

Niliwahi soma mahala Tesla Model 3 battery yake inaweza kwenda jumla km 300,000 hadi 500,000 hadi iwe haina maana kabisa.

Tutafute IST yenye odometer inasoma Km 250,000 tu. Hatupati.

Labda itokee short circuit za mafundi wetu, au driving under extreme condition, au driving behavior zako.
 
Mmemkataa Elon Musk awaletee internet nini kingine mpewe?
 
Baadhi ya nchi za Scandinavia ikiwemo Sweden wamesema mwisho wa kutumia combustion engine ni 2026.
Hizi nchi hawana njaa Kali kama uingereza, France, Portuguese na Spain( hawa wataendelea Sana kutumia magari haya Hadi 2040)
Uingereza ni ukiherehere wa Sunak
Mwezi may kuna uchaguzi acha kwanza Mayor Khan aondoke maana ni nuksi nae
Kwa kweli magari hapa 🇬🇧 yamekuwa juu sana na tunalipishwa ULEZ kwa magari mengi sana
Na mapya yamepanda bei sana
Defender lilikuwa £50,000 miaka michache tu na leo ile short chassis ni £85,000 na kubwa yake zaidi ya laki
Kazi zipo nyingi sana ila maisha yamepanda sana
Wenzetu wa Scandinavian wana uchumi mzuri na kama wamejitenga sana
 
TRA ndio kisanga. Mfano Tesla Model 3 ya 2020 wanakuambia uwape Mil 28 TRA. Yenyewe Beforwad unaweza ipata kwa CIF $20,000 hapo sasa
Hawa jamaa hizi EV wangesi samehe..ili wadau wachukue......
Sema mambo ni mengi ili tuwe comfortable na jutumia EV
-umeme Wa uhakika(Tanesco na wadau wengine)
-makampuni ya bettery...sisi tutanunua used EV ,battery degradation will eat us alive
-incentives kwa owners....Kodi kidogo,spare sisiwe na Kodi,hata matraffic wafanye namn😀
 
Think tank chini ya ccm mkuu🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…