Kwa wale anti-Electical Vehicle: Unaijua ZEV Mandate?

1. TRA na serikali wangeweka ata sheria ndogo/rafiki kwa EV kama ulivyosema. Mfano: EV zote za miaka 3 iliopita Ushuru unakua mdogo sana au bure kabisa. Wanasema hii ni "offa" kwa mwaka 2025-26 hivi.

2. Makampuni yote ya mafuta (makubwa) wanaambiwa waweke na charging stations kama sheria., pia malls zote zenye parking kubwa zinakua na charging stations.

3. Ila kuhusu charging stations (kwakua sio bure) yatajitokeza makampuni (3rd party) yatazifungua nyingi tu.

4. Ukinunua gari afu una nyumba yako unafunga charging dock home. Hafu unanunua na solar system.

5. Incentives hapo: Kuvuka daraja la Kigamboni bure, parking bure, ruksa kupita njia ya Mwendokasi, pia spare na vipuri vinasamehewa kodi.
 
Ukisikia zimeshuka kama ist haimaanishi ni sawa na ist, maana yake bei imekuwa chini sana kuliko kawaida ilivyozoeleka. Almost 40% down.
 
Ukisikia zimeshuka kama ist haimaanishi ni sawa na ist, maana yake bei imekuwa chini sana kuliko kawaida ilivyozoeleka. Almost 40% down.
Umenena sahihi.. magari yanaporomoka bei ila bado bei kubwa somehow.
 
Umefikiria mda utakaopaki kuchaji?
Karibu 2024. Tesla wana super charger (fast charger) 250-kW ambazo inachukua dakika 15 hadi 20 kufika 80% from 0%.

Pia wana 150-kW charger ambazo kufika 80% from 0% inachukua dk 40.

Kwahiyo ile break ya kula lunch tu inatosha kabisa kukupa juicy ta kutosha.
 
Unafunga solar kwako mzee. Ukitenga 5 Mil za Solar kwaajili ya kuchaji gari tu, hafu hununui mafuta milele. What a move!!
Hata hiyo nayo itahitaji Preventive Maintanance....kwenye battery mzee bado ni kipengele
 
Aisee, imagine unataka kutoka out simu haina chaja, saa haina chaja, gari halina chaja, earpods hazina chaja, TANESCO mjiandae.
Tanesco wata torment nafsi zwnu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ joking
Shirika lijiandae else, ushindani uongezwe zije campun zitakazowekeza katika umeme. Mahitaji yanaenda kuongezeka kuliko kawaida
 
Tanesco wata torment nafsi zwnu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ joking
Shirika lijiandae else, ushindani uongezwe zije campun zitakazowekeza katika umeme. Mahitaji yanaenda kuongezeka kuliko kawaida
Wanazingua sana.
 
Kama umeme bado tunazalisha kwa kututumia gesi na mafuta haina impact kubwa kwenye kupunguza green house gases
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…