CLEVER SQUIRREL
Senior Member
- Feb 20, 2019
- 121
- 117
- Thread starter
-
- #41
Ukiwa nje unatamani ufanye kazi benki...ila yule mfanyakazi wa benki anapambana kila siku atoke pale aende sehemu nyingine.....bank wanafaidi wale walio kwenye top positions
Top position wanafaidi, posho za mafuta ,na mazagazaga kibao ,per Dm kubwa nk .....ila nnje ya hapo,chini huku streee.....mwingine anaaanza tama life na ukwasi walionao wateja .Ukiwa nje unatamani ufanye kazi benki...ila yule mfanyakazi wa benki anapambana kila siku atoke pale aende sehemu nyingine.....bank wanafaidi wale walio kwenye top positions
Mkuu zile camera inshort sio rahisi kufanya uchunguzi , access ni ngumu , ni process na mpaka issue ifike kwenda camera room imekuwa ngumu , pia hara cashier akipata short mil 1 kuiona kwenye camera ni issue. Unaweza kaa 5 hrs huoni imekuaje kuwaje ,pia baadhi ya wateja NAO SOMETIMES NI WEzi NA WAONGO ,anaweza kumsakizia cashier kumbe anazo mfukoni zingine au ukimzidishia harudi ,imetoka na kwenye camera Mara Nyingi issue .Hii issue sio ya kweli, katika hizi banks siku hizi nyuma ya kila Bank Teller kuna Cctv camera ukifanya ujinga wa kuku namna hiyo mteja akipeleka complain kwa wakubwa si unafukuzwa kazi kiurahisi kama kumsukuma teja
Hiyo michezo ishapitwa na wakati labda kama wewe ni Banker mstaafu
Mkuu zile camera inshort sio rahisi kufanya uchunguzi , access ni ngumu , ni process na mpaka issue ifike kwenda camera room imekuwa ngumu , pia hara cashier akipata short mil 1 kuiona kwenye camera ni issue. Unaweza kaa 5 hrs huoni imekuaje kuwaje ,pia baadhi ya wateja NAO SOMETIMES NI WEzi NA WAONGO ,anaweza kumsakizia cashier kumbe anazo mfukoni zingine au ukimzidishia harudi ,imetoka na kwenye camera Mara Nyingi issue .
Maoni tu
Mkuu technology gani hiyo ya 5 hours kuangalia movement za teller thru Cctv, hiyo ni issue ya dakika 5 Manager amepata complain anafungua pc yake anaangalia transaction hiyo yenye short imefanyika saa ngapi anatrace teller cubic number anatrace video 5 or 10 minutes before the transaction zinaangaliwa movements zote za teller kama aliangusha noti chini ili aje aiokote baadaye inaonekana.Mkuu zile camera inshort sio rahisi kufanya uchunguzi , access ni ngumu , ni process na mpaka issue ifike kwenda camera room imekuwa ngumu , pia hara cashier akipata short mil 1 kuiona kwenye camera ni issue. Unaweza kaa 5 hrs huoni imekuaje kuwaje ,pia WATEJA NAO SOMETIMES NI WEI NA WAONGO ,anaweza kumsakizia cashier kumbe anazo mfukoni zingine au ukimzidishia harudi ,imetoka na kwenye camera Mara Nyingi issue .
Maoni tu
Hachani nywele yuleDa mkuu jina lako linanikumbusha mbali sana mzee flani kwenye JUMONG alikua na busara sana alafu very loyal
Kuwa banker sio professional ni job hata mtu wa economics,commerce,account,computer science anaweza fanya hio kazi ..........professional ni Kama law,medicine,engineering........
Professional bankers wapo kwa bongo wanakuwa qualified baada ya kusomea CPB na kufaulu exams (CERTIFIED PUBLIC BANKER).
Pamoja mkuu,lakini kwa nini banks zinarihusiwa kuajili watu wasio profession kufanya hio kazi?.......huwezi kuta muhasibu anatibu ama,daktari ni wakili.......ama mwalimu anajenga jengo(contractor).Certified Professional Banker,sorry
Pamoja mkuu,lakini kwa nini banks zinarihusiwa kuajili watu wasio profession kufanya hio kazi?.......huwezi kuta muhasibu anatibu ama,daktari ni wakili.......ama mwalimu anajenga jengo(contractor).
Mtu wa I.T kuwa benki teller,mtu wa marketing kuwa manager,............mtu wa economics kuwa afisa mikopo............mtu wa account kufanya marketing ni kawaida kwa benki nyingi za kibongo......Hadi mtu wa agroeconimcs unamkuta.........hutokuja kuta muhasibu anafanya round hospitali kamwe.Majukumu ya benki ni mapana kidogo na benki ni institution hata ukienda muhimbili Hospital kunawahasibu mpaka social workers.Vile vile hata benki kuna wahasibu,watu wa I.T na kadhalika hata mtu aliyesoma sociology /social work anaweza kufanya kazi benki upande wa marketing na sales maana inainvolve kukutana na watu.Ukitoa upande wa social work na I.T mfanyakazi wa benki lazima awe na knowledge ya accounts au finance.Kama unafani tofauti zaidi ya hizo tatu na uko benki upande wa operations au credit ujue hr kakubeba
Mtu wa I.T kuwa benki teller,mtu wa marketing kuwa manager,............mtu wa economics kuwa afisa mikopo............mtu wa account kufanya marketing ni kawaida kwa benki nyingi za kibongo......Hadi mtu wa agroeconimcs unamkuta.........hutokuja kuta muhasibu anafanya round hospitali kamwe.
Ni kweli mkuuu, Ku track fraud ni rahisi lakini sio Ku track short ndogo ndogo na uwizi Wa elfu 10 ,20,50 aise ........kama ni hivyo kungekuwa hakuna short ...ila kuna short had mil 3 mtu anaata na haionekani .....jua tu banking systems na procedures zina complication Nyingi ..,............ Jaribu chombeza staff .......zaidi let's finish here ....Mkuu technology gani hiyo ya 5 hours kuangalia movement za teller thru Cctv, hiyo ni issue ya dakika 5 Manager amepata complain anafungua pc yake anaangalia transaction hiyo yenye short imefanyika saa ngapi anatrace teller cubic number anatrace video 5 or 10 minutes before the transaction zinaangaliwa movements zote za teller kama aliangusha noti chini ili aje aiokote baadaye inaonekana.
Kuna teller mmoja alikuwa anakula michongo na majambazi kama mtu anakuja kuchukua pesa nyingi anawa text akitoka mteja anatoka na watu ambao wanaenda kumuumiza mbele. Hiyo trend ikawa reported kwa kuwa kulikuwa na mteja kila akihudumiwa na huyo cashier akitoka nje anaona kuna aina fulani ya kufuatiliwa akaripoti huo wasiwasi wake. Management ika trace ktk camera big withdrawals anazoprocess yule teller wakaona kabisa anachukua simu anawatext wazee wa kazi. Siku nyingine akaja jamaa anawithdraw pesa nyingi teller kabla kuprocess akachukua simu, ile anamaliza tu kuwatext jamaa zake police wakamkamata wakamtia pingu wakachukua simu wakaona madudu yoote. Jamaa ananyea debe mwaka wa 3 sasa
Miaka hii ukitaka kuwa mwizi inabidi uwe na akili sana
Bank hawachagui mtu ,unaanza chini wanakutrain ...... Kuna fani mtu anafundishika na bank kuna IT Wa kufa mtu ,ila sio branch in large........Mtu wa I.T kuwa benki teller,mtu wa marketing kuwa manager,............mtu wa economics kuwa afisa mikopo............mtu wa account kufanya marketing ni kawaida kwa benki nyingi za kibongo......Hadi mtu wa agroeconimcs unamkuta.........hutokuja kuta muhasibu anafanya round hospitali kamwe.
Michezo hiyo, 300M rejesho la pili linakata kivipi?Eee bana Mabanker mpo? Aisee usawa wetu umekaa vibaya sana.
Naomba tushee mawazo,vikwazo na experiences mbali mbali zilizopo ofisini kwetu na field.
Kama kwangu wateja wetu wanafilisika sana, yani mtu kapewa loan ya 300m, rejesho la pili hoi!
Nadhani huijui banking industry boss. kwa taarifa tu some of the best treasurers kwenye mabank hapo ya hapo azikiwe na ohio ni watu wenye IT background.Majukumu ya benki ni mapana kidogo na benki ni institution hata ukienda muhimbili Hospital kunawahasibu mpaka social workers.Vile vile hata benki kuna wahasibu,watu wa I.T na kadhalika hata mtu aliyesoma sociology /social work anaweza kufanya kazi benki upande wa marketing na sales maana inainvolve kukutana na watu.Ukitoa upande wa social work na I.T mfanyakazi wa benki lazima awe na knowledge ya accounts au finance.Kama unafani tofauti zaidi ya hizo tatu na uko benki upande wa operations au credit ujue hr kakubeba
Nadhani huijui banking industry boss. kwa taarifa tu some of the best treasurers kwenye mabank hapo ya hapo azikiwe na ohio ni watu wenye IT background.