Kwa wale Mabanker na wakereketwa, tukutane hapa tuambiambiane ya kwetu...

Nchi zilizoendelea kuwa Bank tellers au cashier ni kama kuwa mfagizi bongo, ni kazi zinazodharaulika, ila bongo ndio watu wanaona ni prestigious jobs
 
Naongelea upande wa tellers sio general naushahidi mtu alikuwa anafanya kazi Teller aliyesomea I.T walivyokuja auditors wakapendekeza atolewe mle kwa sababu ya profession yake ni rahisi kucheza na systems
Those were stupid auditors, teller anacheza vipi system wakati yake inaweza kuwa set up such that anachoweza kutumia ni system pekee, na pale kwenye macube yao yamejaa ma cctv cameras

That must be one of the most absurd audit observation.
 
Duuh alipigwa mvua ya miaka mingapi mkuu...???
 
Those were stupid auditors, teller anacheza vipi system wakati yake inaweza kuwa set up such that anachoweza kutumia ni system pekee, na pale kwenye macube yao yamejaa ma cctv cameras

That must be one of the most absurd audit observation.
They had reasons
 
I agree.Nnje ya system ya bank ,kuna human review
rs ,na system inadetect kila task unayofanya na kurekodi , na hakuna task unayoweza kufanya pekeako ikakamilika bila kumuhitaji MTU aliejuu yako au MTU wq pili(maker and checker ).
Hata uwe IT unakaa dirishani maana vitu vimerahisishwa na haiitaji use umesomea finance sijui accounts No.....unajifunza by experience...
 
crdb inawafanyakazi wengi wasio waaminifu, kuna cashier alichomoa laki 1 katika 15m niliyokwenda kudeposit akaniambia laki imepungua, sikujibu chochote nikatoa laki mfukoni kujazia. Nikaja kukutana nae bar usiku saa 8 tukamalizana kihuni. Alinirudishia 2m ili iwe fundisho kwa wengine wanaopalamia miji ya watu wasiowajua
 
Aise Mkuu kumbe unamfahamu njee ya JF,, nenda Iringa ukaongee nae.
Sergeant wapi huyo Bibi, ni kabibi cha UWT chenye majungu tu hakana lolote ipo siku nitakaomba mishe
 
mnadondosha chini ya miguu huku mkijifanya mnahesabu,huo mchezo mmewapiga sana wastaafu halafu we utakuwa NMB au finca.
acha zako finca teller sio wezi asee,nimefanya kwa miaka 5 sijawai kuiba hela ya mteja, ila nilikuwa nikikosa hali najikopesha strong room au kwenye vibubu jmosi nalipa jtatu asubui hahaha.huwezi kufa njaa ukiwa teller
 
Hahaha, hawako makini Wa room .....labda ujikopeshe laki....vibubu mnafunga watu wawili kibubu kimoja kula mmoja na funguo take na nichako.......ukikaziwa hutoki
 
Ipo siku nitamtoa bank teller mmoja kupitia kile kitobo cha kumpea pesa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…