Kwa wale mabingwa wa kutongoza, huu ndio uzi wenu nitongozeni

Kwa wale mabingwa wa kutongoza, huu ndio uzi wenu nitongozeni

dada katoto kadhuri habari yako unajua tangu nimekuona hapa jukwaanai nimetokea kukupenda kwa dhati siyo kama mo11 huyo atakuwa anakudanganya na kuna mtu anaitwa zero iq usimkubalie ni mhuni sana halafu hana hela anauza kiepe mimi kidogo mambo safi naomba niwe mpenzi wako wa kweli jamani nawasilisha
 
weka picha hapa
 
Naona mnalia lia sana pm. Nasikitik kwamba pm huwa sijibu sms au kuendeleza majadiliano huko
Uzi wenu ni huu unaweza kujaribu bahati yako
Karibuni hapa mnitongoze jamani, napenda kutongozwa mie😜

Sasa wataka watu watumie akili nyingi kukutongoza wakati waeza kuwa na sura kama ya mjomba
 
Mimi bado ninacheka sana baadhi wa wachangiaji wa nyuzi kama hizi, mnapokuja na kuanza kumtusi mtoa post. Hivi kawakosea nini hasa? Umefungua na kusoma post wewe mwenyewe, wala hajakushikia bunduki, kisha unamtukana. Kama umeona ni utumbo si umuache akafie mbali? Ubinafsi na wivu unatula bila kujijua.Tujenge tabia ya kuruhusu mitazamo tofauti, na kukubali kuwa duniani tunatofautiana.

TUMEKUZWA KUDHANI BINADAMU TUNAFANANA NA KUFIKIRI SAWA, HUU NI UGONJWA
 
Back
Top Bottom