Nadhani adolescence inakusumbuaHabari za wakati huu wanajamvi pendwa la MMU. Ni siku ya tarehe 05/05/2021 kwa wale ambao siku ya jana 04/05/2021 ilikuwa siku ndefu poleni na wale ilikuwa kinyume chake Hongera kwenu. Acha niende kwenye hoja moja kwa moja.
Nimekuwa kwenye mahusiano na binti wa mtu kwa mwaka na kitu sasa almost mwaka mmoja na nusu hivi na nimeshaenda kwao na Mahali nimetoa almost yote. Tokea mwezi huu umeanza nimekuwa napata changamoto ya upendo kupungua kwake, najitahidi sana ila najikuta nakosa hata hamu ya kuongea naye au wakati mwingine naanza kuhisi kumchoka.
Hii iliwahi nitokea kipindi fulani, nilimuumizaga binti wa watu na nilijitahidi sana kupambana na hii hali ila yeye akashindwa kuvumilia akaondoka. Na wakati huu tena binti wa watu anajitahidi kunijali na kunijulia hali mara kwa mara ila mimi daah hisia zimeanza kukata kabisa. Sasa hii hali naiona kama itanisumbua sana, nahitaji Msaada wa mawazo au mapendekezo ya namna ya kuhuisha hili penzi..! I don’t wanna hurt her.
HELP ME OUT WAKUU
Ujumbe wako mzito sana, anyway umemwambia ukweli so umefanya vyema
Ulilipa mahari bei gani Mkuu nikuridishie pesa zako ili Mkalimani nichukue goma
Nadhani adolescence inakusumbua
anyway tenga muda mwingi wa kuwa nae ikishindikana tumia muda mwingi kuwaziliana naye
They do love care especially kumjulia Hali au hata kumpigia cm bila kuwa na sababu
Basi upeo wako wa kufikiria utakuwa na Shida auI am 30 brother, am already out of that age.
Ila sometime mahusiano ya mda mrefu huchosha, fatilia kuna watu wanaishi kwenye mahusiano mpaka miaka 5 end of the day wanajikuta wameachana,
Kwa upande wako huo mwaka na kidogo ni mchache sana, fanya upesi umuoe, maana utakapo kuwa katika ndoa kuna vitu viwili ambavyo nakuhakikishia vitakufanya usimchoke mkeo.
1. Kama mtabahatika kupata watoto, watageuka kuwa faraja kwako na kuongeza hamasa ya upendo.
2. Kukupikia chakula na kukufulia nguo pia kuandaliwa maji ya kuogo nk. Hii itakufanya ujione tofauti na ulivyokuwa single boy maana sometime vitu getto unavipanga hovyo hovyo, hakuna mpangilio maalum wa kula chakula, au sometime chakula unakila ukiwa kitandani huku unachat and so on
Mahusiana ni kushawishiana na kujaza mapungufu yaliyopo kwa mwingine, sina uhakika ila inawezekana msichana hana jipia na kwa kutojua ameshindwa kutambua mapungufu yako hivyo kuyajaza na Kuwa sehemu ya maisha yako, na wewe inaonekana kama ulifanya hayo yote kwa kumwonea huruma bila kuangalia kama anawajika ktk maisha yako, pia sababu zingine ni uchumi kuyumba na kutokuwa na matarajio mazuri huko mbele. Shughulikia swala la uchumi kwa nguvu zote na msikize sana kujua hisia zake pia.Habari za wakati huu wanajamvi pendwa la MMU. Ni siku ya tarehe 05/05/2021 kwa wale ambao siku ya jana 04/05/2021 ilikuwa siku ndefu poleni na wale ilikuwa kinyume chake Hongera kwenu. Acha niende kwenye hoja moja kwa moja.
Nimekuwa kwenye mahusiano na binti wa mtu kwa mwaka na kitu sasa almost mwaka mmoja na nusu hivi na nimeshaenda kwao na Mahali nimetoa almost yote. Tokea mwezi huu umeanza nimekuwa napata changamoto ya upendo kupungua kwake, najitahidi sana ila najikuta nakosa hata hamu ya kuongea naye au wakati mwingine naanza kuhisi kumchoka.
Hii iliwahi nitokea kipindi fulani, nilimuumizaga binti wa watu na nilijitahidi sana kupambana na hii hali ila yeye akashindwa kuvumilia akaondoka. Na wakati huu tena binti wa watu anajitahidi kunijali na kunijulia hali mara kwa mara ila mimi daah hisia zimeanza kukata kabisa. Sasa hii hali naiona kama itanisumbua sana, nahitaji Msaada wa mawazo au mapendekezo ya namna ya kuhuisha hili penzi..! I don’t wanna hurt her.
HELP ME OUT WAKUU
Basi upeo wako wa kufikiria utakuwa na Shida au
Ka vp achana na masuala ya kuoa
Au waishi tu watazoeana vizuriWewe jamaa nia yako sio njema
😂😂😂najua mpenzi atakuwa na Nyama za kutosha tutaongea nikimchoka wanguMimi nikimchoka mpenzi wangu huwa natafuta jamaa ambae nae amemchoka mpenzi wake pia kisha tunabadilishana wapenzi kwa muda hata wa miezi miwili au mitatu.
🤣🤣🤣😂😂😂najua mpenzi atakuwa na Nyama za kutosha tutaongea nikimchoka wangu
Hapo umekua msuluhishi na sio mgombanishiAu waishi tu watazoeana vizuri