Kwa wale mlio kwenye mahusiano ya muda mrefu mnafanya nini kuhuisha penzi pale linapokuwa limepoa?

Waachie mahari hiyo, pesa inatafutwa .Usimwoe kabisa yaan utamtesa mtoto wa watu.
 
Mapenz ni ubunifu tu, mtoe out sehemu ambazo hamkuwahi kwenda pamoja, fanyeni hata utalii wa ndani kwa wiki endi moja. Sio miaka yote hata kwa walio kwenye ndoa eti wanakuwa na hisia kwa kila mmoja wapo kuna taimu wanaishi ishi tu.
Mapenzi bila true love ubunifu mpelekee Bill get
 
Jitahidi kuwa karibu naye kwenye mawasiliano kila lakheri.
 
Nina maswali kadhaa ambayo ukiyajibu yatasaidia ktk kutoa ushauri sahihi.

1.Kipi kilichokufanya uvutiwe nae?
2.Mnashare common interests?
3.Kuna incident yoyote ilotokea baina yenu,kujibizana,kubadilishana kauli?
4.Kuna vitu mlivyokuwa mkifanya mwanzo na hamvifanyi sasa?
 
Natafuta ugomvi tunanuniana tunahama chumba joto likipanda penzi linaanza upyaa
 
Ashalipa mahari huyo! 🤣
 

Shukrani sana Mkuu
 

Kujibu maswali yako ngoja nijibu ninayoweza kuyajibu na kwa yale sitajibu basi inamanisha sijakuelewa vizuri.

3. No any bad incident has happened in a previous days, It’s just I found myself loosing interest in her. No more Missing to hear her voice japo yeye anajitahidi kupiga simu sana kadri anavyopata nafasi ila mimi moyo umepoa sana. Labda ninachokikumbuka ni kwamba anapenda sana kulalamika vitu vidogo vidogo kwa akija kunitembelea kuanza kulalamika vitu ambavyo mi naona haviniingii akilini nina kereka sana anavyokuwa analalamika vitu vidogo.

Kwa mfano anakuja kwangu akikuta soksi zipo sebureni au akute vyombo vichafu kusema sema maneno binafsi sipendi kulalamikiwa sana kama mtu hawezi kurekebisha basi anyamaze nitarekebisha nitakapo kuwa tayari mambo ambayo kwangu mimi sioni kama ni mambo ya mtu kuwa mlalamikaji kiasi kile.

4. Vitu ambavyo hatuvifanyi sana sasa hivi kuongea kwenye simu muda mrefu ambacho sina hisia na nakosa hata stori za kumwambia (Naamini utanielewa).
 

Labda niseme tu kwamba, Kuna mambo yaliyotokea katika maisha yangu yamenifanya nishindwe kuamini kama kuna Upendo wa Kweli..?? I have been heartbroken couple times and that left lifelong scars japo huwa siyawazagi sana.

I don’t have a person who I can refer him or her a friend zaidi watu wanaozinguka ni watu ambao sionagi kama ni rafiki zaidi ya kukutana kazini tukitawanyika basi. I don’t have a person to talk to, ila kuna Mjomba wangu ni Mlemavu ila anahekima na ndio mtu huwa naongea naye kwa ishu zinazonisumbua.

Sina wazazi, walishatangulia mbele za haki. Nina wadogo zangu. I have always been wishing to feel love from my siblings japo ndio hivyo nao sasa hivi wana maisha yao.

Kuna muda nafeel kuna upendo upo kwake ila sasa nakereka kwakweli kulalamikiwa mambo ya ajabu. Kiukweli sipendi mwanamke mlalamishi, Kuzira zira ovyo and she’s too demanding [emoji26]
 
Ahsante kwa kunijibu nadhani kutokana na jibu lako utagunda kuna vitu anavifanya vinakukera na kukubore hatimae baada ya muda kupunguza upendo wake kwako.Jaribu kuongea nae ili ajirekebishe kuhusu hilo na wewe vilevile ungejirekebisha na kufanya vitu ambavyo vitampendezea mwenza wako ili kuepuka malalamiko.

Jambo jingine ningekushauri muwe mnafanya vitu tofauti nje ya nyumbani mubadili mazingira mfano activity ambayo mtafurahia kama ni sport,dates,vacation,movienight n.k simaanishi lazima ugharimike mfano date sio lazima uende fancy restaurant unaweza ww kuandaa msosi maalum nyumbani na utengeneze enviroment romantic,bubble bath,candles,massage etc etc

Mapenzi ni kama ua yanahitaji kupaliliwa na usipopalilia yanakufa na ndio maana unaona kwenye mahusiano mengi baada ya muda watu hutoka nje kutafute sparks/excitement au wapo pamoja tu kwaajili ya mazoea...
 

Ahsante sana Mkuu kwa kutoa muda wako kunijibu na kunipa ushauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…