Ndio waone Sasa ukubwa wa Messisasa unategemea nini kwa Team Cr7 wanapimuongelea lapulga?
ukona hivi tayari hapo, ni location tu ndiyo kilichobakia !!Kuna watu huku mlikua mnasema Messi hana kitu ni kwamba yupo tu kwenye timu Bora na anazungukwa na wachezaji wazuri mmeona sasa kuondoka kwake kumeifanya Barca kupoteana hadi kushiriki michuano ya Europa...
Barcelona ilishakufa tangu 2015,wanaungaunga nyaya tuMessi alikua anaficha Sana madhaifu ya Barcelona.
Ameondoka Barcelona imebaki uchi
Pele,maradona,okocha,Ronaldo,gaucho,Cristina,Messi ni wachezaji wasio na makala,usitarajie kuona wachezaji wa nanna hiyo ukiwa haiItaichukua miaka mingi sana Barca kumpata mchezaji wa Calibre ya Lionel Messi
Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
sema hii dunia watu wakiamu kuwa rough wanafanya kweli.Kwahiyo umembariki hivi au sio😏Hauna akili ww
Mi naona walikuwa sahihi. Kinyume chake, mchango wake uonekane huko aliko. Yaani, hao PSG waonyeshe walichokuwa wanaonyesha hao BASA.Kuna watu huku mlikua mnasema Messi hana kitu ni kwamba yupo tu kwenye timu Bora na anazungukwa na wachezaji wazuri mmeona sasa kuondoka kwake kumeifanya Barca kupoteana hadi kushiriki michuano ya Europa....
Pele,maradona,okocha,Ronaldo,gaucho,Cristina,Messi ni wachezaji wasio na makala,usitarajie kuona wachezaji wa nanna hiyo ukiwa hai
| S.no | Player Name | Nation | Career goals | Career Assists |
| 1 | Pele | Brazil | 1279 | 231 |
| 2 | Diego Maradona | Argentina | 293 | 226 |
| 3 | Lionel Messi | Argentina | 753 | 352 |
| 4 | Cristiano Ronaldo | Portugal | 794 | 270 |
| 5 | Johan Cruyff | Netherlands | 296 | 167 |
| 6 | Zinedine Zidane | France | 152 | 149 |
| 7 | Ronaldo Nazario | Brazil | 357 | 94 |
| 8 | Ronaldinho | Brazil | 230 | 187 |
| 9 | Franz Beckenbauer | Germany | 72 | 76 |
| 10 | Alfredo Di Stefano | Argentina | 302 | 1 |
Hapo hakuna Kama no 8Top 10 Best football players of all time
S.no Player Name Nation Career goals Career Assists 1 Pele Brazil 1279 231 2 Diego Maradona Argentina 293 226 3 Lionel Messi Argentina 753 352 4 Cristiano Ronaldo Portugal 794 270 5 Johan Cruyff Netherlands 296 167 6 Zinedine Zidane France 152 149 7 Ronaldo Nazario Brazil 357 94 8 Ronaldinho Brazil 230 187 9 Franz Beckenbauer Germany 72 76 10 Alfredo Di Stefano Argentina 302 1
Kwa kweliPele,maradona,okocha,Ronaldo,gaucho,Cristina,Messi ni wachezaji wasio na makala,usitarajie kuona wachezaji wa nanna hiyo ukiwa hai
Huko alikoenda hatukuhusu sisi tunaangalia kipindi yupo na kipindi hayupoMi naona walikuwa sahihi. Kinyume chake, mchango wake uonekane huko aliko. Yaani, hao PSG waonyeshe walichokuwa wanaonyesha hao BASA.
Mfano mwingine, C.C.Chama ilikuwa inasemwa alikuwa anaibeba Simba. Ni kweli. Kaondoka, Simba inataabika. Lakini kule alikoenda, anataabika yeye. Inawezekana wachezaji aliokuwa anachezanao huko Simba, ndio waliokuwa wanamfanya a- shine!
Hakuna timu isiyofungwa duniani