Kuna watu huku mlikua mnasema Messi hana kitu ni kwamba yupo tu kwenye timu Bora na anazungukwa na wachezaji wazuri mmeona sasa kuondoka kwake kumeifanya Barca kupoteana hadi kushiriki michuano ya Europa?
Haya Sasa mmeona umuhimu wake?
Hivi ni kweli mlikua hamuuoni mchango wa Messi Barcelona?
Hamkuona kwamba akiwa Barca yeye ndo alikua anaongoza kwa kila kitu msimu ukiisha? Sio magoli,sio assist,sio nafasi za kutengeneza.
Huyu Messi mpeni heshima yake jamani