Kwa wale mnaopenda 'Mambo ya Mombasa', tahadhari sana!

Kwa wale mnaopenda 'Mambo ya Mombasa', tahadhari sana!

Ndugu mnasema Iringa ni mashuhuri kwa kula kadogo sasa na hapo ni Iringa?:rockon:
 
Hii kitu mbona safi tu, pata supu yake na ndizi kuku cha mtoto
 
Mkuu hii si ungepeleka kule kwa jamii chef, labda unaweza pata watakao penda hiki kitoweo kaka.
 
Duu halafu ninavyoipenda balaa ngoja nizamie kwenye pweza zaidi..
 
Hivi kwa nini watu wa coast wanaruhusu hiii 'mama ngina street, mara Kenyatta beach,mara kenyata drive. Yaani huko Nairobi hakuwatoshi mpaka waende Coast ku name majina yao everywhere?
 
Picha kama hizi ndizo huwa zinanifanya niwe na kichefuchefu kula nyama, hunichukua muda kurudia hali ya kawaida, na hi hapa labda siku mbili tatu zipite bora kuwa mla mbogamboga.
 
Back
Top Bottom