Kwa Wale ndugu zetu wanaopenda kuja huku Ughaibuni hebu angalia hii picha ya hapo

Kweli nimeondoka miaka 20 iliyopita tangu Enzi zaMzee wa Ruksa utawala wake ehhh kazi kweli kumekuwa kuzuri Dar? Nasikia Dar mnatumia mjini umeme wa Majenerator? kukingia usiku Dar Kelele za Majenerator kama mpo kwenye Ma Jumba ya Disko makelele mtindo mmoja Mjini Dar

kumeharibika Wizi ukabaji,ulevi na kila kitu kibaya kipo hapo Dares-Salaam inanuka kwa kila kitu nyumbani lakini kuna matatizo ya kumwaga sana Eeeh Mwenyeezi mungu Waajaalie Viongozi wetu wa Serikali waipende Nchi ya walala hoi Mungu ibariki Afrika Mungu ibariki Tanzania Amina.

Kuna jamaa mmoja kama wewe aliondoka miaka 20 iliyopita, si akajifanya kwenda kusalimia, ile anafika tu (kwao upanga) home umeme ukakatika, asubuhi anaamka wanamwambia maji karibu wiki mbili hayatoki hivyo uwe mvumilivu! siku ya tatu akabeba begi lake akarudi kwa wamatumbi.......
 
Munirudishe kwenye Umeme wa Mgao wa Tanesco? Sitaki kurudi Bora kukaa kwa baridi kuliko huko kwenye shida ya Maji na umeme hamunioni n'gooooooooooooooo

Huku ndiko uliko zaliwa BABA, East or West home is BEST.........Njooo nyumbani tujenge TAIFA!!!!!
 
Hata iwe -100 tuko njiani twaja..wengine twatamani kuyashika tu hayo madude meupe..
 
Munirudishe kwenye Umeme wa Mgao wa Tanesco? Sitaki kurudi Bora kukaa kwa baridi kuliko huko kwenye shida ya Maji na umeme hamunioni n'gooooooooooooooo

...ha ha ha,
kwakweli kaka hapo umenena.

Joto + Jua kali + Mgao wa Umeme = Hakuna maji baridi, feni/AC, wala kulala na Chandarua!
Wenye maofisi maghorofani hakuna lifti!
bara barani nako si foleni hizo,...

Pheewww, ki winter cha mwaka huu kimeanza kwa ari na nguvu mpya,...
chonde chonde tu wasije na wao wakasema msitishe matumizi ya Heaters!
 
muheshimiwa hiyo picha hiyo inanipa raha zote za winter....
 
Huku ndiko uliko zaliwa BABA, East or West home is BEST.........Njooo nyumbani tujenge TAIFA!!!!!
Tujenge Taifa Linaongozwa na mafisadi hamunioni N'gooooooooooooooo mpaka huku kuwe kama huku nilipo kila kitu kipo sijawhi kukaa hata siku moja Giza au kukosa maji ya kuoga huko ni kwetu lakini bado hakujaa kaa sawa
 
muheshimiwa hiyo picha hiyo inanipa raha zote za winter....
Njooo mkuuu afrodenzi au niandikie PM tuwasiliane nipo peke yangu napata shida najifunika Mablanketi matatu ili niweze kupata joto la mwili huku nimevaa Sweta nzito sana njoo unakaribishwa uwe rafiki yangu
 
...ha ha ha,
kwakweli kaka hapo umenena.

Joto + Jua kali + Mgao wa Umeme = Hakuna maji baridi, feni/AC, wala kulala na Chandarua!
Wenye maofisi maghorofani hakuna lifti!
bara barani nako si foleni hizo,...

Pheewww, ki winter cha mwaka huu kimeanza kwa ari na nguvu mpya,...
chonde chonde tu wasije na wao wakasema msitishe matumizi ya Heaters!
Haya Mkuu Mbu karibu sana nipo karibu na Urusi si unajuwa Urusi kulivyokuwa na Baridi ya +40 unaweza ukaganda ukitembea njiani lazima uanguke mara mbili au tatu mpaka kule unakofika upo hoi au utembee kidogo kigodo kama kobe karibu sana mkuu Mbu ingawa sijawahi kuona huku mdudu Mbu tangu nisafiri sasa ni miak 20 iliyopita .
 
Njooo mkuuu afrodenzi au niandikie PM tuwasiliane nipo peke yangu napata shida najifunika Mablanketi matatu ili niweze kupata joto la mwili huku nimevaa Sweta nzito sana njoo unakaribishwa uwe rafiki yangu

inabidi uoe sasa...LOL:embarrassed:
 
hahahhah asante sana kwa ukaribisho..
soma PM....
 
Nakushauri ukae hukohuko usirudi huku, leo tunanyuzi 34 na nataraji joto linazidi kupanda. ......... Hata jogoo wangu hataki kuwika..
 
kama hataki kuwika huyo jogoo wako itabidi umuuze au umchinje umnunue Jogoo Mwengine au mtafutie dawa kwa Waganga wa Kienyeji atawika tu akitaka asitake.
 
inabidi uoe sasa...LOL:embarrassed:
Wachumba wenyewe huku ni wazungu watu weupe wachumba wazuri tumewaacha huko nyumbani itabidi nije niowe huko nyumbani au niagize mmoja aje huku tukumbatiane maan ahat usingizi huwa sipati naomba kukuche baridi ilivyokuwa kali sijuwi nifananishe na wapi huko kwetu Labda

kwa ndugu zangu Wahehe Njombe? au Arusha Au Moshi au Nairobi? lakini naona baridi ya Afrika huko kwenu hakuna baridi huku kuna baridi na barafu inaanguka kila wakati jamani nimechoka baridi ya ulaya.
 
Nakushauri ukae hukohuko usirudi huku, leo tunanyuzi 34 na nataraji joto linazidi kupanda. ......... Hata jogoo wangu hataki kuwika..

huyo jogoo wako muwekee alam anachelewa kuamka matokeo yake anaona noma kuwika saa tano asubuhi
 
Munirudishe kwenye Umeme wa Mgao wa Tanesco? Sitaki kurudi Bora kukaa kwa baridi kuliko huko kwenye shida ya Maji na umeme hamunioni n'gooooooooooooooo
Njoo umsalimie mama amekukumbuka sana
 
Kweli nimeondoka miaka 20 iliyopita tangu Enzi zaMzee wa Ruksa utawala wake ehhh kazi kweli kumekuwa kuzuri Dar? Nasikia Dar mnatumia mjini umeme wa Majenerator? kukingia usiku Dar Kelele za Majenerator kama mpo kwenye Ma Jumba ya Disko makelele mtindo mmoja Mjini Dar

kumeharibika Wizi ukabaji,ulevi na kila kitu kibaya kipo hapo Dares-Salaam inanuka kwa kila kitu nyumbani lakini kuna matatizo ya kumwaga sana Eeeh Mwenyeezi mungu Waajaalie Viongozi wetu wa Serikali waipende Nchi ya walala hoi Mungu ibariki Afrika Mungu ibariki Tanzania Amina.

sasa kaka umenikubusha cha maana sana ... unajua kutokana na tatizo la umeme huku bac vitu vya maridi dili sana.. mi nataka nianze biashara ya kuuza mabarafu kitaa.. nafunga kwenye vifuko vya askirimu.. sio hz za bakheresa au za uko kwenu huku hizo ni ICE cream.. ss kwasababu umeme ni issue nataka hizo barafu za uko uwe unanitumia.. c zinapatikana free tu mabarabarani... we nitumie mi nazipaki kwenye vifuko tena hizo za mchanga ndio zenyewe watu hawatahitaji kuweka maji walnalamba kama glukoz..... ila zimenitamanisha.. duh huku barafu tunanunua 50 au jiti kuweka kwenye maji ili tupate kunywa ya baridi huko... sir god amewezesha throug mufindi a.k.a mbheho yake menyewe....
 
edinburgh hakufaiii too much snow roads are too dangerous to drive.Uk government doersnt have enough salt minerals for these.OMG Msije jamani mwaweza kuganda kwa barafu loooooooooo

MH unacope vipi sasa kwa lugha hii? 'Salt minerals'?? ha ha au ulimaanisha 'grit'??
 
Back
Top Bottom