Kweli nimeondoka miaka 20 iliyopita tangu Enzi zaMzee wa Ruksa utawala wake ehhh kazi kweli kumekuwa kuzuri Dar? Nasikia Dar mnatumia mjini umeme wa Majenerator? kukingia usiku Dar Kelele za Majenerator kama mpo kwenye Ma Jumba ya Disko makelele mtindo mmoja Mjini Dar
kumeharibika Wizi ukabaji,ulevi na kila kitu kibaya kipo hapo Dares-Salaam inanuka kwa kila kitu nyumbani lakini kuna matatizo ya kumwaga sana Eeeh Mwenyeezi mungu Waajaalie Viongozi wetu wa Serikali waipende Nchi ya walala hoi Mungu ibariki Afrika Mungu ibariki Tanzania Amina.