Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
- Thread starter
-
- #81
ni kweli lakini kipindi cha Summer kinaanzia mwezi wa Sita mpaka Mwezi wa Tisa ndio summer inakwisha miezi inayofuata huwa inaanza baridi kidogo kidogo mpaka inakuwa tena baridi kali unaweza usitoke nje ya nyumba yako. Na kila wakati unakuwa unasikia njaa ya kula kwa sababu ya Baridi. Karibu mkuu unakaribishwa sana hukuKwa uelewa wangu mdogo nilionao ni kwamba huko ulaya kuna kipindi cha snow na kile kipindi cha summer na sio kweli kua siku zote kuna snow
edinburgh hakufaiii too much snow roads are too dangerous to drive.Uk government doersnt have enough salt minerals for these.OMG Msije jamani mwaweza kuganda kwa barafu loooooooooo
mi natoa laki moja mwenzetu atakuf huyo huko
Na ninakoishi mimi tumeshatangaziwa kila mtu anunue chumvi ya kumwaga kwenye njia ya kuingia nyumbani kwake halmashauri hazina pesa.
Jamani chumvi inayeyusha barafu? nilikuwa sijaipata
Kweli nimeondoka miaka 20 iliyopita tangu Enzi zaMzee wa Ruksa utawala wake ehhh kazi kweli kumekuwa kuzuri Dar? Nasikia Dar mnatumia mjini umeme wa Majenerator? kukingia usiku Dar Kelele za Majenerator kama mpo kwenye Ma Jumba ya Disko makelele mtindo mmoja Mjini Dar
kumeharibika Wizi ukabaji,ulevi na kila kitu kibaya kipo hapo Dares-Salaam inanuka kwa kila kitu nyumbani lakini kuna matatizo ya kumwaga sana Eeeh Mwenyeezi mungu Waajaalie Viongozi wetu wa Serikali waipende Nchi ya walala hoi Mungu ibariki Afrika Mungu ibariki Tanzania Amina.
ni kweli lakini kipindi cha Summer kinaanzia mwezi wa Sita mpaka Mwezi wa Tisa ndio summer inakwisha miezi inayofuata huwa inaanza baridi kidogo kidogo mpaka inakuwa tena baridi kali unaweza usitoke nje ya nyumba yako. Na kila wakati unakuwa unasikia njaa ya kula kwa sababu ya Baridi. Karibu mkuu unakaribishwa sana huku