GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wengi wenu mnadhani na mmekaririshwa kuwa Israel iliyopata Hadhi ya kuwa nchi mwaka 1948 ni Mgeni huko Mashariki ya Kati wakati kumbe si Kweli.
Taarifa ikufikie kuwa Politically Palestine ndiyo mwenye hilo Eneo linalozozaniwa ila Historically na hata Kitabu Kitakatifu ( Biblia ) Kimethibitisha hilo ni kwamba Wayahudi / Waisraeli ndiyo walikuwa wa Kwanza kuishi hilo Eneo kabla ya Kutawanywa maeneo mengine baada ya Kumkosea Mwenyezi Mungu ambaye baadae Aliwasamehe na kuendelea Kuwabariki na Kuwatumia Kiimani.
Vile vile kuna Majuha ( Fools ) fulani fulani huwa Wanatamba kuwa Watahakikisha kuwa Wanaifutilia mbali Israel ( nchi ) wakisahau kuwa Israel ndiyo Dunia na kwamba Mwenyezi Mungu alionekana kupitia Wao na hata Dunia hii tuliyoko sasa ni zao la wana Israel hivyo Mpumbavu Mmoja akisema kuwa ataifutilia mbali Israel ajue kuwa anasema ataifutilia mbali dunia nzima / yote.
Kwa mengi zaidi Kitafuteni Kitabu chenye Title ya THE BASIC FACTS OF THE UNITED NATIONS ili muwe mnayaua na kuyaelewa Mambo kuliko baadhi yenu kwa Upopoma wenu huwa mnakurupuka na mkijigawa kwa misingi ya Udini ( Uislamu na Ukristo ) juu ya Mzozo huu wa Israel na Palestine.
Myahudi wa Kiafrika nimeshamaliza.