Kwa wale tu Wanaodhani Israel ni Mgeni Middle East kitafuteni Kitabu cha Basic Facts of the United Nations ili msiwe Majuha tena

Kumbe ni kitabu Cha kuandikwa na waandishi wa kidunia!nilidhani Quraan,taurat au zabur.
 
Quran pia imetaja bani-Israel Mara kadhaa, imetaja pia kuhusu wayahudi mara kadhaa, lakini hakuna popote Quran imetaja kuhusu palestina, Wala wapalestina, biblia hivyohivyo, na vitabu vyote vya kale
 
We nae Ivi upo Dunia ya ngapi mpka leo hujui tu kwamba Israel ni Watu weusi,

hizo dini zinapotosha sana watu Vatican imefanikiwa kubadilisha historia ya Mtu mweusi kwa Asilimia kubwa san na Wamefanikiwa ila sasa watu wamekuw na maarifa na wanapenda kuhoji mambo,

kwahyo uhuni wao wote walioufanya wa kubadilisha Ukweli kwamba Watu weusi ndo waisrael wa kweli na Ndo taifa la Mungu sasa umejulikana,

kiufupi Taifa la Mungu (israel) Ni Africa na Waisrael ndo sisi waafrica, siku nikipata muda nitakuja kutoa elimu humu maan Wazungu wameshaharibu kabs Settings za kichwa cha mtu mweusi.

Nikalale sasa Alamsiki.
Siku ukija kutoa hiyo elimu usikose kunitag mkuu Afghanistan Program Manager
 
Wengi wenu mnadhani na mmekaririshwa kuwa Israel iliyopata Hadhi ya kuwa nchi mwaka 1948 ni Mgeni huko Mashariki ya Kati wakati kumbe si Kweli.

Taarifa ikufikie kuwa Politically Palestine ndiyo mwenye hilo Eneo linalozozaniwa ila Historically na hata Kitabu Kitakatifu ( Biblia ) Kimethibitisha hilo ni kwamba Wayahudi / Waisraeli ndiyo walikuwa wa Kwanza kuishi hilo Eneo kabla ya Kutawanywa maeneo mengine baada ya Kumkosea Mwenyezi Mungu ambaye baadae Aliwasamehe na kuendelea Kuwabariki na Kuwatumia Kiimani.

Vile vile kuna Majuha ( Fools ) fulani fulani huwa Wanatamba kuwa Watahakikisha kuwa Wanaifutilia mbali Israel ( nchi ) wakisahau kuwa Israel ndiyo Dunia na kwamba Mwenyezi Mungu alionekana kupitia Wao na hata Dunia hii tuliyoko sasa ni zao la wana Israel hivyo Mpumbavu Mmoja akisema kuwa ataifutilia mbali Israel ajue kuwa anasema ataifutilia mbali dunia nzima / yote.

Kwa mengi zaidi Kitafuteni Kitabu chenye Title ya THE BASIC FACTS OF THE UNITED NATIONS ili muwe mnayaua na kuyaelewa Mambo kuliko baadhi yenu kwa Upopoma wenu huwa mnakurupuka na mkijigawa kwa misingi ya Udini ( Uislamu na Ukristo ) juu ya Mzozo huu wa Israel na Palestine.

Myahudi wa Kiafrika nimeshamaliza.
FaizaFoxy Soma hii, ukiona uelewi niambie nikuletee supu ya Kitimoto
 
Hicho kijitabu kimeandikwa na mtu mwenye mtizamo kama wa kwako.
 
Back
Top Bottom