Kwa wale tu Wanaodhani Israel ni Mgeni Middle East kitafuteni Kitabu cha Basic Facts of the United Nations ili msiwe Majuha tena

Kumbe ni kitabu Cha kuandikwa na waandishi wa kidunia!nilidhani Quraan,taurat au zabur.
 
Quran pia imetaja bani-Israel Mara kadhaa, imetaja pia kuhusu wayahudi mara kadhaa, lakini hakuna popote Quran imetaja kuhusu palestina, Wala wapalestina, biblia hivyohivyo, na vitabu vyote vya kale
 
Siku ukija kutoa hiyo elimu usikose kunitag mkuu Afghanistan Program Manager
 
FaizaFoxy Soma hii, ukiona uelewi niambie nikuletee supu ya Kitimoto
 
Hicho kijitabu kimeandikwa na mtu mwenye mtizamo kama wa kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…