kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,406
- 19,892
Aisee bora hizi paper wawe wanatunga tu utumishi wenyewe.
Kiukweli paper wametunga bunge wenyewe na maofisa wa utumishi wao leo walikua ni wasimamizi wa mchakato tu ila kuanzia materials zilikua na nembo ya bunge.
For real sijawahi kukutana na paper ngumu kama hii katika maisha yangu.
Mtakaotoboa kila la heri, mi kesho nageuza zangu nilikotoka.