Maswali ninayokumbuka
Ilikuwa multiple choice maswali ya bungen, na matching items maswali ya bungeni. Maswali ninayoweza kukumbuka ambayo ni out of bungeni ni kuhusu nchi zilizopo united kingdom ni ngap, resolutions za UN ni ngapi hapa nimesahau swal exactly ila ulitakiwa kusema idadi ambapo ni multiple choice, kucompare How the parliament of commons ya UK ilimtreat Borris kwenye issue za Corona na the way Lowassa alikuwa treated kwenye Richmond scandal, hapa pia kuna multiple choice za kuchanganya, halafu kuandika short notes on what the government of Tanzania should do ili kubenefit from increase of population, duties the clerk should do kupromote welfare of the people, lingine lilikuwa statement inasema Tanzania imejidevote kuwa superpower kwenye kusupply electricity among East African Countries, discuss
Mengine sikumbuki wadau, ila kiujumla yalikuwa maswali 17, section A unajibu 6 kati ya 12, section B tuseme no 13 unajibu lote, section C unajibu matatu kati ya manne
On my side matching items na multiple choice zilikuwa zinachanganya sana. Ni kumuomba tu Mungu