Kwa wale tuliofanya paper ya Katibu wa Bunge

Au kwa kuwwa sikuwa chumba cha pepa, mbona maswali haya yanajibika fressh tu.
 
Au kwa kuwwa sikuwa chumba cha pepa, mbona maswali haya yanajibika fressh tu.
Kwa kuwa hukuwa kwenye chumba cha pepa, ata mimi nliekuwa ndani nliona hivyo, ila hapo kuna mtu ana 0, kuna mtu ana 1, kuna wa kwanza ana 67, huwez sema nyote mlikuwa vilaza kiasi hicho mtu asipate ata 80 .
 
Tanzania is planning to be electricity superpower in east and central africa.Discuss
Sasa si unajimwaga na dili la nyerere hydropower, renewable energy Billeteral contract tulizoingia juzi. Gas plus Current REA plans na hivyo tutameet internsl demands by 100% kinachobaki ni kuuza nje ...
 
-nchi za uk -rahisi
-boris johnson alikuwa na kosa la kuandaa party na mjukumuiko akavunja kanuni za covid, akashtakiwa kwa makosa yake akakutwa na hatia
Hakushtakiwa ila uchunguzi ulibainisha hivyo, hakuwa impeached kwani alishinda confidence vote ila aliamua kujiuzulu.
 
Hizi zile namba za mtihani kwenye hii kada zilikua zinaendana na index yako kama ilivyo kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…