Kwa wale tuliowahi kwenda kwa waganga wa kienyeji, tukutane hapa

Dada mmoja alikuwaga anajifanya mjanja sana eti atongezeki anajifanya clasic, nikabet na jamaa kuwa uyu miye napiga na atakuwa mtumwa kwangu jamaa akasema siwezi basi nikamwambia nikipiga unanipa nini akasema atalipa chumba cha guest siku mbili gharama za chakula maradhi nk itakuwa juu yake, tukakubaliana hiyo pesa ampe mtu ashike, basi jamaa akatoa laki tatu na nusu akampa mwenzetu mmoja hivi, miye nikawaza nikasema uyu dada analinga sana sasa dawa kupiga ndele tu nikaingia mtaa wa pill kwenye kijiwe cha kahawa nikaleta hoja kama kuchikoza mjadala eti jamani hivi mtu tunaweza kwenda kwa mganga muweka sawa mwanamke mkatoka naye kimapenzi nilifanya kusudi ili mzee atakayesema hayo mambo yapo nimbishie ili akisema yanawezekana nimfutae anipeleke uko nikamuweke sawa uyu Dada


Kweli bwana mzee moja akasema mbona kazi ndogo shilingi elfu kumi tu kwa mzee hamdani ukimpa akikutengenezea sawa uyo mwanamke atakutafuta kila siku

Nikasema mzee nipeleke mzee akanipeleka kweli bwana yule Dada nilimgegeda balaa akawa mtumwa wangu na ile laki tatu na nusu ya ubishi ilitumika kugharamia show mzima guest chakula malazi
 
Kumbe ulienda kwa mganga ili mziki wako usikike??
Pumbavu kabsaa amelaaniwa mtu yule amtegemeae mwanadamu
Ona sasa unavoyumba kimuziki
Mpaka unyooke na Bado
 
Kumbe ulienda kwa mganga ili mziki wako usikike??
Pumbavu kabsaa amelaaniwa mtu yule amtegemeae mwanadamu
Ona sasa unavoyumba kimuziki
Mpaka unyooke na Bado
Bangi mbaya sana
 
Bangi mbaya sana
Jamaa nlimuambia asiende huko atapotea hakunisikia Siku hiyo nikamwita na ndugu yake tukamshaur Sana akalazimisha bas tukamwambia uamuz ni wako
Sasa hiv ameyumba kama dumu la gongo baharin
 
hii script mtafute ray mfanye muvi
 
Biashara ilikua ngumu.nikaenda kwa mganga mapka sasa tajiri,na wateja awaishi ktk meza yangu ya samaki.UCHAWI,UPO ATA VITABU VYA MUNGU VINAELEZA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…