da mm niliwahi kwenda kwa mganga bhana kisa mchepuko
INSHU ILIKUWA HIVI
Nilihamishwa kikazi mwaka 2017 kwenda mbeya wilaya ya kyela..so familia niliiacha Dar..kufika kule baada ya miez 2,3 kama wanaume wengi tulivyo..nikashikwa na GENYE la hatari na mm sina tabia ya kuchukua wadada wa bei rahic rahic..mm napendaga wadada wenye status flan hv(ameajiriwa au amejiajiri)..cha msingi awe na kitu cha kumwingizia hela..maana mm pia nna KAUBAHILI flani hv
Sasa nikapata manzi mmoja alikuwa anafanya kazi kwenye taasisi iliyo chini ya ufadhili wa watu wa marekani..Sex 2,3 manzi akawa hazioni siku zake(alinitegea makusudi)baada ya kama wiki hvi akapima mimba akakuta ni POSITIVE....nikamwambia atoe mimba AKAGOMA KATA KATA
Kidume nikapiga hesabu nikaona njia zote za kumshawishi ni ngumu..siku moja natoka zangu mjini bodadaboda niliemkodi 4m no where nikamshirikisha inshu yangu..akanambia hyo SIMPLE tu..kama niko radhi anipeleke kwa wataalamu,Nikakubali
Kesho yake akanipeleka..kufika mganga akanambia niandike jina lake kwenye karatasi...akaichukua akaiweka kwenye chungu..akachukua madawa ya kienyeji mengi mengi akayamimina kwenye chungu..akachukua mafuta ya taa akawa anayamimina kwenye chungu then akachukua njiti akaiwasha akaitupia ndan ya chungu...ukatokea moto mkubwa tu...akawa kama anakoroga koroga huku anaongea maneno ya ajabu ajabu hata siyaelew...ghafla ule moto ukazima paaap..AKANAMBIA KAZI IMEISHA..KOMBORA LISHATUMWA
Then akanipa sindano imechomewa kwenye karatasi flan akanambia nikaitupe sehem ambayo hakuna mtu atakaeniona
Baada Ya kumaliza kazi..jioni dem ananipigia simu kunambia damu zimemtoka...so akaenda hospital kupima akakutwa hana mimba
Yani hapo niliamini kweli Uganga upo na yule demu nilimterminate kbsa
Sent using
Jamii Forums mobile app