Kwa wale tuliowahi kwenda kwa waganga wa kienyeji, tukutane hapa

Nilimpa kwa sababu kuondoa kero za kupigizana kelele,za kira siku so!niliamua kufanya hivyo ili funika kombe mwanaharam apite.
Kuna rafiki mmoja ni mtu mkubwa mahali fulani yy anapingana sana na mambo ya waganga kwani kakulia kwenye imani kali ya kisabato, mwaka jana mwezi wa tatu wakapanga kumuondoa kwenye cheo alichokua nacho bodi ikakaa na yy akajulishwa alivyoona maji yako shingoni akaniomba nifanye juu chini kama kuna uwezekano tumnusuru, so tukaenda tabora kwa fundi mmoja hv yy hafanyi kazi mchana ni usiku alitupokea akasema tumsubiri babu atakuja saa tatu usiku, ilipofika saa tatu tukimsubiri huyo babu mara akatwambia tuingie ndani kwenye kichumba kdogo chenye mlango wa bati, tulipoingia akatuambia babu atakapokuja kuja tusiigope, du akachoma Ubani na kuanza kuongea ghafla tukaanza kumuona yeye mwenyewe akibadilika na kuwa kibabu yaan tulitoka nduki kwa uoga, baadae mkewe akasema huyo ndo babu yule aliyewapokea ni mjukuu wake ila akianza kazi anakua ni babu, alimfanyia kazi huyo rafk yangu kaz moja ya kibabe mno na alisema asilipwe kwanza mpaka tuone matokeo, yaani tunaamka asubuhi jamaa uamuzi ukatenguliwa akarudishwA KWenye cheo chake, kuna watu walifanya sherehe kabla, kusikia jamaa anarudi hawakuamini macho yao, baada issue kukaa vizur jamaa slumps1.5m,
 
Haaa nitakutafuta ninashida inayo fanania hiyo
 
[emoji23][emoji23][emoji23] dadeq navuta picha jinsi mlivyokuwa mnagombania kutoka kwenye mlango wa bati
 
Poa mkuu mm jamaa yuko vizuri sana wala simpigii promo vitu vyake anakufanyia vinatik then unamlipa, yapo mengi siwezi expose humu, ni pm
Wajuba tunauliza mechanism gani iliyotumika kujibadilisha kijana kuwa Babu
Au kuna uhusiano gani Kati ya giza pamoja na udi pengine tunaweza vumbua kitu kimoja kikubwa sana apa.

Natamani nijue je nikipewa vifaa ivyo na elimu yake nami ntaweza badilika Kama yeye.

Wakuu natamani niwe na uwezo wa kusafiri maeneo tofauti kupitia kufumba na kufumbua yaani ghafla nimepotea nimeibukia kwengine.

Kuna movie moja niliangalia mda nimesahau jina lake Ila Kuna kijana mmoja matata Sana Kuna vazi moja ilikuwa akilivaa anakuwa haonekani. Kwa mtazamo wangu naona Kama inawezekana sema jibu la malighafi yanayotumika kutengenezea ndiyo swali lilokosa majibu.
 
Ngoja sku nikienda nitamrekodi kwa siri then nitaiiweka humu mm binafsi namkubali asilimia mia kwani kazi nilizompa zote zilikwenda kama nilivyotaka, kuna kipind nilikua na kesi tukafanya mambo wale jamaa hawakukanyaga mahakamani hadi kesi ikafutwa,
 
Kwa mwanaume yoyote mpambanaji na mtafutaji,katika mahangaiko na mapambano lazima tu utafika kwa mganga
 
Tulienda kwa mganga ili timu yetu ishinde , basi mganga akatupa dawa tukaichimbie kwenye goli atakalokaa kipa wetu hapo hakuna goli litakaloingia. Basi tukafanya kama alivyoangiza mganga, kipindi cha kwanza kikaanza kwa kasi sana wapinzani wetu wakifanya mashambulizi ya hatari sana lakini yote yaliishia kugonga mwamba na kutoka nje, sisi tukafanikiwa kupata goli moja.
Kipindi cha pili baada ya kubadilishana magoli tukasahau kuhamisha dawa, na hapo ndipo iliposhuka mvua ya magoli.
Full time tumepigwa 5 - 1.
 
Kila mtu huwa ana imani yake

Kila mtu ana mbinu zake za kutatua matatizo yake.

Wapo ambao wakipata shida kidogo tu ni kwa babu sangoma wanakimbilia.

Tujuzane, vipi gharama huko? Shida zinatatulika? Permanently or temporarily?

Na pia nasikia every dark magic comes with a price, ni kweli..? Ni price zipi mnalipa kupata magic nyeusi hizo

Tujuzane

Binafsi mimi sijawahi kukanyaga kwa sangoma na sitakaa nikanyage huko
sahiz kule ni upigaji tu jamaa yangu kaibiwa simu kaenda kwa sangoma lkn hamna kitu
 
Habari wana jamvi,wajuzi wa mambo.

Nije katika makusudio ya uzi huu.UCHAWI,UPO,NA WAGANGA WA KWELI WAPO UTAKI ENDELEA KUBISHA,UONE KAMA UTAPATA FAIDA YOYOTE.

Kiukweli maisha yanaweza kukutuma kufanya chochote ili kupata unafuu wa mambo yanayo kuzonga.ima maisha,maradhi,mapenzi nk.binafsi ninekwenda kwa sagoma kwa sababu kuu moja.

Kuna jirani yangu nimepakana nae mpaka wa shamba, kiukweli huyu jirani ni mrafi wa ardhi sijapata kuona.anavyo igombania kana kwamba akifa anaichukua hiyo ardhi, baada ya kugombana kwa mda mrefu niliamua kumuachia, ili amani idumu. ila kwa masharti aniambie, anataka ukubwa upi na sitotaka tena majadiliano nayeye kuhusu mipaka tena.alijubali na nikaenda nae kwa mjumbe wa shina, tukakubariana vizuri.

Baada kukaa kwa mda kidogo nikaenda kwa babu mmoja bungu kwa ndani uko.nilipo fika nikamueleza mzee kua nimedhurumiwa eneo langu na jirani yangu.nikaulizwa utanaje?nikasema mi nataka eneo langu lirudi kwa amani,na basina majadiliano. Basi kazi ikafanywa, nikombwa nikannue baazi ya vitu,nikatekeleza. Aisee sikuamini kilicho tokea baada ya zile siku7 nilizo pewa na babu. Alikuja mwenyewe nyumbani akiwa na mjumbe yuleyule, na makaratasi tulio kubaliana, na kuongea mbele ya mjumbe kua kuazie leo eneo nalirudisha mikononi mwako, na kuniomba msamaha wa kufa mtu tena uku akitokwa na machozi, kana kwamba anaumia kiasi kikuvwa mno.

Nikamuuliza kwa nini umeamua kurudi tena? Akasema kaka,roho yangu inauma kwa kutenda uhovu huu,nimejifikiria na kutafakari nimeona sina sababu ya kufanya hivyo.ok!mjumbe unamsikia jirani yangu? Je, ushauri wako? Akasema kubari lirudi mikononi mwako kwa ahadi isiyo jirudi tena swala hili.ok sawa tukaa chini na kuyamaliza.

TOKEA APO NIMEAMINI DAWA ZIPO NA ZINAFANYA KAZI.

JE, WEWE UMEKUTANA NA KISANGA GANI KATIKA MAISHA NA SAGOMA?
Anapatikana wapi huyo jamaa nami nikajaribu kutatua matatizo yangu?

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Kwenye huu uzi, wengi wao ni madalali wa wachawi na ulozi. Mungu atusaidie sana, tumheshimu na kurudi kwake. Hizi ni siku za mwisho.
 
Mie kwa waganga siachi kwenda madhari mambo yangu yananyooka na hivyo baba yangu aliniambia nitafute hela kwa njia yoyote ile hata uchawi ilimladi nisikubali kuwa kapuku na kweli bana kuliko kuiamini mizimu ya wazungu na warabu ni bora niabudu mizimu ya kwetu africa tu na imenisogeza kweli si haba
We kama mimi aisee,kila mtu na utaratibu wake
 
Ngoja sku nikienda nitamrekodi kwa siri then nitaiiweka humu mm binafsi namkubali asilimia mia kwani kazi nilizompa zote zilikwenda kama nilivyotaka, kuna kipind nilikua na kesi tukafanya mambo wale jamaa hawakukanyaga mahakamani hadi kesi ikafutwa,
Yuko wapi hyo mwamba, duh

Ova
 
Back
Top Bottom