Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Marangu HotelMnatutenga tunaokata kulia pale njia panda sio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marangu HotelMnatutenga tunaokata kulia pale njia panda sio?
Bata linaanzia Korogwe pale tunapokula chakula mchanaKama kichwa cha habari kinavyojieleza december inakaribia wa mikoani tunaenda kupumzika kidogo vijijini. Kwa wale wakwetu kaskazini tujuzane viwanja vya kukutana. Bata linaanzia njia panda
Mi napenda wale kuku wa kukaanga pamoja na ndizi huku unashushia na Castle baridiiii. Changbay since day oneHaiwiki sana mkuu lakini ile ni old timer.. Malegend wote huwa wanapitaga pale
okay mkuu nimekupataHaiwiki sana mkuu lakini ile ni old timer.. Malegend wote huwa wanapitaga pale
Sawa sawa, tukumbukaneTunakuja tuombe uzima
[emoji23][emoji23][emoji23]lipo tayarAndaa tumbo mzee baba[emoji1787][emoji1787]
Kabsa kaskazin ndio mwisho wa matatzo njaa huku mwiko wingne watalalamka maisha magumu ila huku ni ngumu..Popote tu huku kaskazini ni chimbo kali....ni ndafu na kitimoto kuanzia Monduli mpaka Tarakea ilimradi uoge kwa bia. Uchumi kwetu hautokaa kuyumba...tutaiba mpaka kanisani kwa paroko na masinagogi ya Freemarsons!
Kabla sijafika machame lazima nipaki gari pale nichome mbuzi na Ndovu yangu huku naangalia barabara ya Arusha Moshi jinsi wamachame na wakibosho wanavyopandisha magari ya kifahari mlimani.. That's feels so good aiseeMi napenda wale kuku wa kukaanga pamoja na ndizi huku unashushia na Castle baridiiii. Changbay since day one
Daah! Asee I wish ningekuwepo home this Christmas.Kabla sijafika machame lazima nipaki gari pale nichome mbuzi na Ndovu yangu huku naangalia barabara ya Arusha Moshi jinsi wamachame na wakibosho wanavyopandisha magari ya kifahari mlimani.. That's feels so good aisee
There is next time, always!Daah! Asee I wish ningekuwepo home this Christmas.
HahahaYaan haya maisha uwe na ella hiz ckukuu utajiona kama wewe ni wewe ila tumtangulize mungu kwanz maana huyu ndio kila kitu..maraaa paaaappppp nishnde biko miez hiii mraaa paaaap mil 100 aisee pale uchagani lazima mili 10 ikaktike...watu watanishanglia..aiseee
Hivi wale Kuku Maziwa waliokuwa wanapatikana kiborloni wamehamia wapi tena???