Kwa wale tunaoenda xmass december arusha na moshi tuambiazane viwanja vya kukutania

Kwa wale tunaoenda xmass december arusha na moshi tuambiazane viwanja vya kukutania

Popote tu huku kaskazini ni chimbo kali....ni ndafu na kitimoto kuanzia Monduli mpaka Tarakea ilimradi uoge kwa bia. Uchumi kwetu hautokaa kuyumba...tutaiba mpaka kanisani kwa paroko na masinagogi ya Freemarsons!
Kabsa kaskazin ndio mwisho wa matatzo njaa huku mwiko wingne watalalamka maisha magumu ila huku ni ngumu..
 
Mi napenda wale kuku wa kukaanga pamoja na ndizi huku unashushia na Castle baridiiii. Changbay since day one
Kabla sijafika machame lazima nipaki gari pale nichome mbuzi na Ndovu yangu huku naangalia barabara ya Arusha Moshi jinsi wamachame na wakibosho wanavyopandisha magari ya kifahari mlimani.. That's feels so good aisee
 
Hivi wale Kuku Maziwa waliokuwa wanapatikana kiborloni wamehamia wapi tena???
 
Yaan haya maisha uwe na ella hiz ckukuu utajiona kama wewe ni wewe ila tumtangulize mungu kwanz maana huyu ndio kila kitu..maraaa paaaappppp nishnde biko miez hiii mraaa paaaap mil 100 aisee pale uchagani lazima mili 10 ikaktike...watu watanishanglia..aiseee
Hahaha
 
Back
Top Bottom