Kwa Wale Vijana Wanaopenda Kuvaa Kiatu kisichoweza Kuingia Maji Timberland Boot

Kwa Wale Vijana Wanaopenda Kuvaa Kiatu kisichoweza Kuingia Maji Timberland Boot

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Kwa Wale waaotaka Kiatu kisicho ingia Maji hicho hapo Timberland Boot Dollar 200. Ukikitaka nione mimi.

timberland_01.jpg

Last edited by a moderator:
Vipo Kariakoo kwa Bin Hariz, bei robo ya hiyo unayoitangaza wewe.
Sio Rahisi huwezi Kupata hivyo viatu hapo Tanzania FaizaFoxy NNchini Tanzania mnapata Viatu toka china sio kutoka Ulaya hamuwewezi kuvinunuwa viatu toka ulaya bei yaek ni kubwa.

timberland_05.jpg

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Aisee mzizi mkavu hiyo safety boot ya cat nimeipenda sana..ma engineer wengi wa kibongo tumezoea kuvaa safety midosho za kariakoo.kwa namna hiyo ilivyokaa unaweza kwenda nayo site hata kulia bia calabash pia inanata mzuka tuu
 
Naishi DSM na ninapenda sana viatu ila hapo hakuna kiatu ni MALAPULAPU hayo ni maviatu ya watoto 2a shule wavaa mlegezo na wakubwa wachache wapuuzi huku bongo viatu tunavaa mwaka mmoja tuu huko USA unavaa kiatu miaka mitano??? Duuu lqzima mtakuwa na kipato kidogo sana na mkija bongo mtachoka yaani haya MANDULA ndio tununue $200 tell me u r not seriois, kwa taarifa yako hapa Mwenge na Kijitonyama kuna viatu vinayoka Europe yaani laki na nusu $100 unapata kiatu boraa kwa sisi mawakili unaingia nacho court, church na kwenye meetings sasa haya mandula unaenda nayo wapi Club au Outings na wachumba.Tatizo watu wa diaspora mnadharau mnafikiri tuko nyuma hayo kauze Central Africa na Lubumbashi kwa wakata viuno hapa humpati mtu.
 
Aisee mzizi mkavu hiyo safety boot ya cat nimeipenda sana..ma engineer wengi wa kibongo tumezoea kuvaa safety midosho za kariakoo.kwa namna hiyo ilivyokaa unaweza kwenda nayo site hata kulia bia calabash pia inanata mzuka tuu

Mkush njoo nkuuzie boot from RED WING inahimili vishindo vyote.
 
Dah...... mumenikumbusha viatu vyangu nilivyonunua kwa raia wa rusia kwa 7000 tu.
Nilikuja kuvaa kwa miaka 18 bila kuvichuna soli lake kwa muda wote huo.
Nikaja kuviuza kwa tsh 35000 baada ya kukua na kunibana kwa sana ndio nikauza.
 
Sio Rahisi huwezi Kupata hivyo viatu hapo Tanzania FaizaFoxy NNchini Tanzania mnapata Viatu toka china sio kutoka Ulaya hamuwewezi kuvinunuwa viatu toka ulaya bei yaek ni kubwa.

attachment.php

Huijui Tanzania na huijui Ulaya, wewe hapo Uturuki ni kama kipofu aliyeona punda.
 
Mmmhhh kwa namna nilivyoiona hiyo safety ni kama hata wewe nakujua vyema.....nakucheki PM mwanamayi..

Ha ha ha nimekubamba ila najua unavaa namba kubwa mwanawani hiyo ni namba 6.usilete kujuana cha msingi fweza
 
Back
Top Bottom