Kwa Wale Vijana Wanaopenda Kuvaa Kiatu kisichoweza Kuingia Maji Timberland Boot

Kwa Wale Vijana Wanaopenda Kuvaa Kiatu kisichoweza Kuingia Maji Timberland Boot

Ha ha ha nimekubamba ila najua unavaa namba kubwa mwanawani hiyo ni namba 6.usilete kujuana cha msingi fweza

Yelewiiiiiiii....jf ina mengi jamani...tiririka bei tuone maana hyo safety kitu mkataba hicho.unaweza piga hata project 30 mpk ERB na CRB waingilie kati kukusihi ubadilishe
 
MziziMkavu huwa unajitahidi sana kuleta picha za watoto wafa njaa wa somalia walivyokondeana,Hivi huwa unawasaidia japo majiran zako kweli.au ni ujasiriamali kwanza? Nimeona juhudi zako za kupigia debe bidhaa yako...vp una contena zima?
 
Hicho cha pili atleast.
lakini timberland mbona hata kwa alfu 70 madukani kipo.
Ukikona kiatu cha Timberland kinauzwa kwa bei ya Elfu 70 ujuwe hicho ni kiatu feki. Labda ni kiatu cha Mchina hicho sicho kiatu cha Timberland chenyewe hakiuzwi kwa shillingi Elfu 70. Mkuu Elungata
 
Last edited by a moderator:
Naelewa MziziMkavu nilikuwa nachagiza tu jukwaa, sina tatizo na bei kama kitu ni kiwango na mfuko unaruhusu! Nina shida na yule atakayetaka kuishi maisha yasiyo halisi au maisha ya gharama yasiyolingana na kipato chake
Siku moja wayback 2010 msanii mmoja akihojiwa akawa anatamba kuwa kavaa vitu vya gharama, kiatu ni Timberlake, unajua alitaja bei gani 90,000!!!!
Huyo Msanii hana pesa Elfu 90 ndio anajisifia Eti amevaa kiatu cha Timberland ? Labda Timberland ya Mchina huyo sio Mwenyewe Timberland Msanii huyo inaonyesha hana pesa Mkuu mshana jr Angalia hiyo ingine Kiatu cha CATERPILAR Vaa Kiatu ili watu wakuone umevaa kiatu Sio uvae kiatu hakina jina Kiatu feki.




attachment.php
 

Attachments

  • Cat-shoes-1.jpg
    Cat-shoes-1.jpg
    201.8 KB · Views: 747
Last edited by a moderator:
Kwa wanawake pia wanaweza kuvaa hivyo hapo..............

attachment.php


attachment.php
 

Attachments

  • Cat-shoes-3.jpg
    Cat-shoes-3.jpg
    45.4 KB · Views: 510
  • Cat-shoes-5.jpg
    Cat-shoes-5.jpg
    35.6 KB · Views: 475
Huyo Msanii hana pesa Elfu 90 ndio anajisifia Eti amevaa kiatu cha Timberland ? Labda Timberland ya Mchina huyo sio Mwenyewe Timberland Msanii huyo inaonyesha hana pesa Mkuu mshana jr Angalia hiyo ingine Kiatu cha CATERPILAR Vaa Kiatu ili watu wakuone umevaa kiatu Sio uvae kiatu hakina jina Kiatu feki.




attachment.php

Shida ni mchina na waagizaji wetu wa bidhaa nje ya nchi, siku hap kina Cat na timberland wenyewe wakiamua kufanya ziara ya ghafla kariakoo naona watazimia
 
Last edited by a moderator:
Hivi hapa kwa akina dada zangu wanaweza nao kuvaa Viatu vya CaterPillar

attachment.php


attachment.php


attachment.php
 

Attachments

  • wanawake.jpg
    wanawake.jpg
    48.5 KB · Views: 574
  • caterpillar-shoes-women-i12.jpg
    caterpillar-shoes-women-i12.jpg
    7.9 KB · Views: 552
  • Woman.jpg
    Woman.jpg
    17.8 KB · Views: 677
Swali moja tu; sasa kama maji hayapenyi hewa je? Na jasho itatokea wapi sasa?
Haviingii maji ndani ukivaa utajisikia mwenyewe raha na viatu sio vizito kama watu wengine wanavyozania. Ukinunuwa hicho kiatu kwa huko kwetu baada ya miaka 5 ndio unaweza kufikiria kununuwa kiatu kingine kinadumu muda mrefu sana hichi kiatu ni imara sana Jerrymsigwa
 
Ukikona kiatu cha Timberland kinauzwa kwa bei ya Elfu 70 ujuwe hicho ni kiatu feki. Labda ni kiatu cha Mchina hicho sicho kiatu cha Timberland chenyewe hakiuzwi kwa shillingi Elfu 70. Mkuu Elungata

Hivi unajuwa Timberland vinatengenezwa wapi? Kama hujui, China pia kuna kiwanda cha Timberland.

Umekazana sana kuitaja China kama vile bidhaa zao ni mbovu!

Napenda uelewe kuwa China ni nchi ambayo inatengeneza bidhaa kutokana na standard uitakayo. Hiyo USA na Europe zimejaa bidhaa za China lakini ni kwa standard yao waliojiwekea.

Jisomee hapa: IHS Child Slave Labor News :: Timberland Shoes, Made in China uelewe kuwa Timberkand unaowasifia sana wana kiwanda China na walishaingia matatani kuwa wanaajiri watoto chini ya umri wa kuajiriwa.

Usiwe mwanjomwanjo kusifia usivyovijuwa na kuponda au kufanya Tanzania kuwa watu wote ni wajinga na hawajui standard, kwa kuwa tu wewe ndio kwanza umejionea hayo huko Uturuki.

Nimekwambia, jinsi unavyoandika nakuona ni kama kipofu aliyeona Punda.
 
Back
Top Bottom