kitali
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 5,204
- 8,315
Ukikona kiatu cha Timberland kinauzwa kwa bei ya Elfu 70 ujuwe hicho ni kiatu feki. Labda ni kiatu cha Mchina hicho sicho kiatu cha Timberland chenyewe hakiuzwi kwa shillingi Elfu 70. Mkuu Elungata
broda jambo uclolijua litakusumbua. mimi nimekuwa naviuza hivi viatu huu ni mwaka wa 9 mwanzo tulikuwa tunachukulia USA then tukawa tunachukua London ndio tukaenda korea kisha leo hii ni china. nikusaidie tu kukwambia asilimia kubwa ya nguo na viatu vinavyouzika ulaya na marekan vinatoka China, Bangladesh India na Turkey na Viatenam. vile viatu ni kweli kuna jins vimetofautianauimara lakin sio kiihivyo. tofauti ni elfu 10 mpaka elfu 20 za Kitanzania. ukiona unauziwa bei gali ulaya ujue ni mazingira wanauzia. mfano suala la kodi wanavyowalipa wafanyakazi na uchum wao kwa jumla. mfani kiatu hicho hicho kikiwa mwenge hapa dar bei yake ni tofauti na kukiuzia pale posta. ukitaka kujua wazungu wanavyoweka oder ya viatu nenda mji wa Fujiang china ndio utajua.
Last edited by a moderator: